@doctornoel: Epistaxis (kutokwa damu puani) sio ugonjwa… ni DALILI 🚨 Watu wengi wakiona damu puani wanadhani ni ugonjwa lakini ukweli ni kwamba epistaxis ni ishara kwamba kuna kitu kinaendelea ndani ya mwili. Inaweza kuwa kitu simple kama: 👉 hewa kavu 👉 kujichokonoa puani 👉 maambukizi Lakini pia inaweza kuashiria mambo makubwa zaidi kama: ⚠️ shinikizo la damu (high blood pressure) ⚠️ matatizo ya damu kuganda ⚠️ magonjwa mengine ya ndani Pointi ni hii: Usitibu dalili pekee… tafuta chanzo chake.
pia inaweza kuwa yakuridhi kwenye familia . inaitwa (HEREDITARY HEMORRHAGIC TELANGIECTASIS) -HTT . au Osler -weber- rendu Syndrome.
just for knowledge am happy to share . asante kazi nzuri
2026-03-23 16:29:31
13
Abc :
Bwn Dr. mbn kma unantisha 🥹
2026-03-23 16:04:50
9
Solomon :
nilikua na hilo tatizo nikiwa mtoto, ila sahv limeisha
2026-03-23 16:45:14
2
licious2778 :
hata kwa mtoto mdogo,?? mwanangu anapata.hiyo shida na ni just 8 years
2026-04-01 06:02:53
1
coesi🌹 :
doctor mtu ghafra kuwa anakakamaa na kutetenek ni dalili ya nn,,,
2026-03-23 19:41:12
3
The Kid You Know™ :
lkn hata mafua makali yanaweza sababisha
2026-03-23 16:32:41
1
user4860107672410 :
management au dawa
2026-03-25 04:37:39
2
whiskerzly :
daktari how does grasping cause death
2026-03-27 22:28:30
1
Sengobad :
Dr. Noel vp kuhusu Azuma na UTI
2026-03-23 16:58:55
1
Diava Boy :
doctor noel naomba ufanye video ya kusemeya kuusu vyakula vinavyo ongeza nguvu za kiume 🙏
2026-03-23 16:38:29
1
fibi :
mm hua nahis harufu yadam lakin haitok nn tatizo
2026-03-27 20:19:15
1
am_rachie1 :
Afu baadhi ya madaktari wanasemaga n kawaida ety duh asante kwa kunielewesha
2026-03-25 20:46:16
1
It's me Zuu :
Utotoni nimeteseka sana na huo Ugonjwa hata sijui niliponea wap. Sasa hv inatokea Mdomoni
2026-03-28 05:13:14
1
Pendo Boutique 👗🛍️🛍️ :
Mimi wakati mdogo lilikuwa ni tatizo la mara kwa mara ila sikuliona hilo tatizo toka mwaka 2016 until hii 2026 mwezi huu nimepata tena hiyo shida
2026-03-25 20:17:14
1
Ochu's26 :
Je ni kihashilia cha hatari kwa mjamzito akianza kutokwa na damu puani maana wajawazito baadhi hua wanapatwa na hilo tatizo?
2026-03-23 16:05:47
3
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm
homepage.