Yupo wap dada Alie umizwa na mapenzi nipo Apa namngoja nimuoneshe upendo wa kweli
2026-03-24 13:40:58
55
mother ❤️ :
nalipa 20/20
2026-03-26 21:27:18
2
Suleiga sakina 💯❣️🇸🇦🇰🇪 :
sijui nitumie before ani block 😂😂😂
2026-03-23 22:21:43
25
uhty fey💞💓 :
nataman kuweka status lkn sitaki kushusha brand 😅😅😅😅
2026-04-22 20:05:08
10
noeli@🧢 :
10/10 twenden apa sabato yupo tuu
2026-03-27 19:54:40
1
Mrs waby ☘️OG...🔐💍 :
50/50
2026-03-25 20:22:39
4
Françoise :
25/25
2026-04-28 18:33:40
0
yasfaty,🇹🇿✈️🇴🇲 :
10/10
2026-04-02 16:26:39
0
bwigor tny🤍🦴💨 :
waleeee wa 50, 50
2026-04-24 09:01:09
3
💖Mfuasi🫂 wa 🌹Sifuna♥️ :
my situation right now
2026-05-15 02:18:40
1
Rose official :
hii hali inatutesa wengi kumbe😭😭😭😂😂😂
2026-05-10 03:54:43
2
Merry benson :
nakupenda tony sema mm naww wote viburi🤣🤣
2026-05-22 20:12:30
1
btrice0954 :
Weye ni wangu na mimi ni wako😁❤️
2026-04-23 20:14:49
2
chuga49🖥️ piano👑🧢 :
[Sticker] 😂
2026-05-10 16:16:47
2
Miss Aminah :
nikwer kabisa jamani 😂😂😂😂
2026-03-23 20:16:02
7
cute_vinna :
😂😂😂😂😂nimecheka kwa nguv jmn
2026-03-23 18:50:42
5
Sheyshey :
Ila mapenzi ni ushenzi kabisa aisee
2026-03-24 05:33:24
6
dyderbeauty :
😂😂😂😂Forever mine ♾️😂😂😂😂
2026-03-26 21:49:02
3
Nicole :
mnilaikie hii comment nirudi hapa tena
2026-04-14 08:17:19
2
Pendo Gee🤑🥰 :
moja kwa moja status na asiposoma namtumia😂😂
2026-05-09 04:09:00
1
Ghadi slay :
na imagne naishi nae lakini hatuongei... breakfast ananiachia pesa kwa meza... lunch anatuma kimya na supper pia anatuma kimya akija ananyamaza analala zake kwa kiti...na mimi ....ata siendelezi story kwa ufupi napitia mengi
2026-04-05 18:38:29
4
happy wa sele :
Niko hapa
2026-03-25 16:21:16
2
Sakina Amlani :
natamn kuiposti lakin baba ataiyina😭😭
2026-03-30 13:37:18
2
To see more videos from user @legrandmastory, please go to the Tikwm
homepage.