@stentematafu: Mnajua raha ya kusagura nyie afu upate nguo nzurii 🥰🥰 aah nyie nikiwa tajiri itakuaje sasa 😅😅 na mtumba una raha yake!? #thrifting #mwengesokoni #trending #dadamc #tiktoktanzania🇹🇿

Stente Matafu
Stente Matafu
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 March 2026 18:23:19 GMT
63418
1768
57
175

Music

Download

Comments

msmaryian
Maryian🦋 :
Sikuizi mwenge sina bahati nayo sipati nguo
2026-03-24 04:25:06
17
princesslora70
princesslora70 :
Nguo zangu zote nanunua mwenge nguo nzuri sana boyfriend jeans
2026-03-25 07:42:50
11
saida.jagad
Saida Jagad :
yani napenda mambo hayo🤣
2026-03-24 10:44:42
4
prettykarty8
Pretty Karty :
siku ya mnada lini ,anayejua tafadhali
2026-04-17 20:14:16
1
roselissah
rose🌹🌹🌹 :
Enzi zangu nipo Udsm hilo lilikuwa chimbo langu ila nilikuwa naenda jioni au usiku😂
2026-03-25 09:44:23
5
malayika9840
Malayika :
sorry, hio ni saa ngapi na juma ngapi ?
2026-03-24 00:19:49
3
ms.judica
ms.judith :
saa ngap muda mzur
2026-03-24 03:00:26
1
nancy.joel873
Nancy power🌼🦋 :
Mwengee sokoni upande upi my
2026-03-24 06:22:17
1
getrudapaul778
Truda pol :
hii sehemu ulipokaa ni noma wana nguo nzur
2026-08-12 20:29:48
1
ray_.812
🌸YogurlRay🌸 :
ukienda jion je ni fresh?
2026-07-11 12:55:00
0
ley_lah1626
Ley_lah1625😘♥ :
sehem gan jmn niende kesho
2026-03-24 20:07:25
1
msboraaa
✨Soso boraa🦁 :
me nachokaga kuchagua jamn🤣
2026-06-08 15:06:50
2
misss_momo
thee_momo7395 :
Yani specifically hapo kuna nguo kali sana
2026-04-12 14:59:07
0
00alma7
مالما📿 :
Hv hapo siwanauza na Yale masweta yeny kofia
2026-07-30 10:40:01
0
t._trends
TIKA TRENDSS ✨❤️ :
Bei rahisi NO , BUT NGUO NZURI SANA YEES
2026-05-18 00:01:57
0
beatrice20jm
beatrice20jm :
Juzi nimebahatishq nguo nzuri walai😁
2026-05-03 18:25:20
1
christinagoziber8
Christina Gozibert :
j5 sangap kipenz changu
2026-06-30 14:22:19
1
iveytrends
IVEY_TRENDS :
Nani yupo free twende tukasagure ijumaa
2026-03-25 13:39:31
0
mariangonyani7
mariangonyani7🇹🇿 :
mitumba ndio vitu kuanzia nguo Viatu mpaka mikoba napenda unakuwa tofauti na ninajua kichagua bhn😂🔥🔥 naweza nunua nguo buku nikivaa naonekana wa kishua na hivi ni fundi KUSHONA najua na kuzidesign ndio balaa
2026-04-10 04:32:03
1
mamichula379
mamichula379 :
Hii sehemu kweli kuna nguo nzur sana jaman natamani ata nipate namba ya hawa wakaka jaman nipo arusha nilikuja once uko sema pesa sikua nayo dah🥺🥺🥺
2026-03-24 08:01:24
3
ibtiano93
Kwamwarabu :
Naona pink pink
2026-03-23 20:24:49
2
missvanny4ever
missvanny4ever :
Dada sie wa mkoan hatuwez kukutumia pesa ukaenda kutupointia??
2026-03-24 19:50:04
1
missnath09
Miss Nath🫧 :
@Be lyne💕🥰
2026-04-01 20:09:53
0
manyota0
Manyota222 :
twende @Tussa Issack❤️
2026-03-24 18:09:53
2
To see more videos from user @stentematafu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About