i think i can tag sameone here but
..
..
let God answer all the prayers
2026-04-24 19:27:41
2
mercycarol :
very true
2026-05-19 19:28:34
1
esther G :
Mungu huyu anaenipa maumivu mrudishie mara saba
2026-03-26 15:00:46
2
shanny :
hauwezi kuwa na furaha wakati unamsababishia mwenzako maumivu.
2026-05-14 18:01:53
0
wankyosg :
mungu anipe uzima nije nimuone aliye mgonga kjana akafarki ameniachia maumivu na yy nione maumivu yake
2026-03-25 02:03:53
2
Magret Akiki :
mtu unakesha kumuombea mtu Mungu amjalie kila hitaji la moyo wake Alf kosa moja tu anakwambia furaha yako nikuona napitiaa shida na matatizo
2026-03-24 17:28:46
1
user3195351922047 :
mungu uyu baba watoto wangu aliyeniacha hp mjin naomba umludishie mar saba
2026-04-14 20:31:34
6
chant girl 🎶💐 :
i know am not perfect so nakaata roho ya visasi na malipiz kwanguu
2026-05-06 18:57:31
2
Sileena Tanzania :
hio inaitwa pando
2026-03-24 18:33:43
4
eddie :
hugs dear
2026-04-20 04:24:03
1
Nash k :
true
2026-04-27 18:14:10
1
mashallah omary :
swadakta
2026-04-10 20:41:43
1
🇺🇲Fayzah🩷❤️💝🇺🇲🇰🇪 :
oh yes 😩🥲
2026-04-25 16:26:11
1
Prayerful :
amen 🙏
2026-03-27 18:46:01
1
Rosemary Ngocho :
naomba Mungu hili nilionee lilitokea nikiwa hai
2026-03-24 12:05:37
3
meemah🥰 :
hakika
2026-03-24 21:08:23
1
Lucy Chacha :
true
2026-03-25 05:25:43
1
Faith kingirwa :
mungu ni nijibu
2026-04-26 12:30:30
1
user 123456789 :
MUNGU azidi kumfungulia milango ya riziki ili azidi kutuumiza na mtoto wangu,mana kama kumuombea mabaya nishaomba sana na hayajawah kumpata yeye mwenyewe leo katoka kunambia kua MUNGU hatokei kijijini kwetu kwahyo maombi yangu ya chuki zidi yake hayawezi kumpata🙏🏻
2026-05-06 08:15:51
1
Jacq🧸🩷 :
ndo kitu nachompendea mungu🥰😂
2026-04-19 17:01:00
1
Fridah Beautylicious :
mungu ni wetu sote
2026-03-24 12:39:07
2
Ms Gemini❤️ :
Exactly
2026-03-24 13:32:35
1
To see more videos from user @jy.petro, please go to the Tikwm
homepage.