@mwl.emilian.katub7: kubaliana na hicho ulichonacho leo wakati unasubilia makubwa ya kesho

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 March 2026 05:02:22 GMT
702370
51511
2715
10815

Music

Download

Comments

happy91h
Happy🌹🌹 :
huyu pastor ana roho mtakatifu maneno yake yana upako sana
2026-03-24 07:26:29
313
oriva.mbilinyi
Oriva Mbilinyi :
😭😭😭kuachilia nashindwa
2026-03-24 08:51:54
101
casandraburemo12
🤑🤑 :
AMEEEEEEN mtumishi aksantee kwa maneno yako 😇🙌🙌
2026-03-24 06:30:07
42
mettie037
Victoria001 :
mungu anisaidie sana ili niweze kuachiliae kila kitu
2026-04-10 05:25:03
13
user1354136181688
juliet wera :
Ameeeeeen mungu nisaidie nisahau yaliopita
2026-03-24 06:34:26
20
cutemaya7818
MAYA COLLECTION 🛍 :
Amen japo nashindwa ..💔💔
2026-03-24 06:50:35
27
dearcute47
💞 Fihma 🎀💞 :
asante sana kwa kunifundisha pastor nimekubali kusahau maumivu ya kumpoteza baba angu 😥. naomba Mungu anifanyie jambo jipya Tena Amina 🙏
2026-03-24 14:28:10
27
emmanyaboke281
MIND MY OWN BUSINESS 🌺🥰 :
mimi kuna kitu nimeshindwa kuachilia aki but mungu nisaidie nisahau🙏
2026-03-24 20:10:32
14
lovenessyosiah
Loveness Yosiah :
mungu akuinue mtu wa mungu Kila nikikuangalia huwa Kuna hatua nasogea dam ya yesu ikufunike kwa
2026-03-24 06:33:16
9
user1999jsp
marryat💞 :
mimi nakushukuru sana pasta maneno yako ndy yaliyoniponya mwaka jana mwezi wa 6 ndoniliaza kukufatilia nimepata uponyaji mkubwa sana
2026-03-24 18:42:03
7
jumajosephchacha
Juma Joseph Chacha :
Amina mungu akuzidishie uzima
2026-03-24 06:10:16
6
florah531
florah :
paster mengine yanaumiza sana
2026-03-28 06:20:30
9
molly.kikunga
Molly Kikunga :
Ujumbe wa nguvu Mtumishi wa Mola.🙏🙏🙏🙏
2026-03-24 06:01:36
6
shawrty138
shawrty💋 :
Niweza hayo yote kwajina la yesu 🙏🏽🥰
2026-03-26 07:18:31
6
1234_shack
shebeeh Duuh 😱 :
naachana na yakale Sasa na focus na Mambo yangu
2026-04-20 09:42:28
6
mercyblessed74
MercyBlessed💖 :
Mimi nimejaribu lakini wakati mwingine Huwa nakumbuka .Mungu nisaidie nisahau kabisa
2026-03-30 16:25:39
8
christina.bajuta
Tinnah🦋 :
Amen
2026-03-24 06:17:48
12
aqueno.quency
aqueno quency :
🙏tafadhali mungu naomba unisaidie nisifuatilie maisha watu,naomba unisaidie nifuatilie maisha yangu 🙏🙏🙏🙏🙏Amen🙏
2026-03-24 09:00:40
8
mrssam567
MumLm :
Ww umchungaji unanipa nguvu mpyaa
2026-05-26 20:49:49
3
melhorvelakabuela
Adelina@ :
amen
2026-05-22 03:09:39
2
user8714169804607
Neema Florence :
asante baba MUNGU akulipe na ubarikiwe.
2026-05-29 12:00:26
1
lenahmwendwa458
Trustee Lenah Mwendwa :
Hallelujah 🙌🔥
2026-05-24 08:13:58
3
user59571652795321
user59571652795321 :
Amina
2026-05-16 18:12:37
4
queen_angel751
Angel :
amen
2026-05-18 06:37:22
2
tuliaufikiri
Tuliaufikiri :
Amen
2026-05-17 13:57:19
2
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About