uwa nakupenda sana dada,yaani unaongea ukweli mtupu,but mm uwa nasemaga akili tu ndio kitu wanakosa,lakn maisha mazuri ni kumpata mwanaume sahii,na cc kumpata mwanamke sahihi kwaio kuungana kwenu ndio mtaji namba moja vyote ivyo mnavipata kiraisi sana.🙏