ndugu yangu ambaye umehangaika tafuta mti unaitwa mshamako Chukua magome yake saga/twanga chemsha chuja vizuri kunywa ndani ya week mbili au tatu halafu tudi hapa uniambie, mimi niliumwa miaka zaidi ya 9 2002 mpaka 2011 lakini mpaka sasa nadunda nshukuru MUNGU
2026-06-10 21:03:01
0
To see more videos from user @mira_wellness_tz, please go to the Tikwm
homepage.