@kidu_works: Shule 10 Zenye Ada Ghali zaidi, yani hizi ndiyo International Schools ambazo ada zake ni zaidi ya Mtaji 🔴MAKALA ZETU ZINAPATIKANA KWA WINGI YOUTUBE YETU YA BYTEVIEW TZ #trending #byteview #tiktoktanzania🇹🇿 #viral #fyp

Mahmoud Mwanzemo
Mahmoud Mwanzemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 March 2026 12:39:08 GMT
919428
30163
930
7906

Music

Download

Comments

mwamnyange2
Mwamnyange 🇹🇿 🇨🇦 :
elimu bure tuna Comment wap
2026-03-24 19:42:03
1807
dreamerbrand3
Dreamer Brand :
unasoma alaf baadae unakuja kukaa live TikTok unasema guys tap tap the screen 😅
2026-03-24 19:52:27
979
winny7201
@winny...🌹 :
uzur wote watakuja kusoma udsm university na sisi mfagio na kidumu 😁🤗
2026-03-25 05:32:32
636
ashna.boss
Ashna 🥰 :
Mwanangu atasoma Kwenye hizi shule ciku moja Tukijaliwa
2026-03-25 07:20:38
297
its.you5195
It's you :
Wa government tuna like hapa
2026-03-24 19:31:37
217
jmo0001
Jmo :
tuliosoma Tanzania international academy tujuwane
2026-03-24 18:43:05
240
user12737004800257
Tatiana :
Feza Kumbe Bado sana
2026-03-24 19:19:03
283
p.a.b.l.i.t.oo
...pablito... :
sijaona Feza international schools hapo
2026-03-24 22:38:48
33
brinnah_1909
🪄🎀..Nyau Nyau😹⚘️♥️ :
kwan watu wanatoaga wapi ela 🥹
2026-03-25 06:20:45
73
loveness_divah07
Facebeatbylovey 💎 :
My babies will study in these schools in JESUS NAME 🥰
2026-03-25 08:26:09
51
vancyuche_02
Vancy uche❤️‍🔥 :
Tuliosoma Tanganyika international 🥰 na bado tupo bongo
2026-03-24 19:49:56
54
trycallyx
Al Bawab Tubla'q :
Ni Usa River na siyo U.S.A River
2026-03-24 20:41:23
23
juliusjames1
Julius_jr95 :
Hapo umesahau Hopec na Feza (Mtaala wa Cambridge) zote hizi ada ni ml 24
2026-03-24 19:52:22
9
marrysamsoni487
marry dimples🍏🍭🍬 :
hii tanganyika internation school ipo maeneo ya muhimbili sindioo😍
2026-03-25 11:23:02
12
perengo.jr1
perengo jr :
KIBAMBA SECONDARY SCHOOL ADA NI BUREEEE WW NA MADAFTAR
2026-03-26 07:39:52
10
lucylameck1993
lucylameck1993 :
kumbe mimi bado ni mgeni kwenye nchi yangu haya mambo ndo nayasikia tangu nizaliwe sikawahi kujua kama Tz inaweza kua na mambo mazuri hivi
2026-03-25 07:27:21
14
queen_orchid
عائشة🐦‍🔥 :
Bora uhai
2026-03-24 20:10:18
21
zaynab_qalbiyyah
zaynab_hafidh 🌸 :
I'm teaching KENNEDY HOUSE daycare nimesoma Kenny house O level 🥰
2026-03-25 05:40:24
28
anithamussa1
anithamussa310 :
mbna sijaona feza😅
2026-03-25 08:25:22
6
fety13ally
ysfty13ally♓️😇🥰🇹🇿 :
AZIMIO INTERNATIONAL SCHOOL OF Tandika😁😁
2026-03-25 07:24:20
6
madamcomfort07
madamcomfort. :
naomba kujua iringa international school ilipo.
2026-03-24 20:43:04
5
space_bad9
space :
daaah maisha ayapo sawa kabisa 🥹
2026-03-24 19:43:56
9
To see more videos from user @kidu_works, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About