@drbenedicto: 🚨Dalili za Kisukari. ✅️Kukojoa mara kwa mara ✅️Kiu kupita kiasi ✅️Njaa ya mara kwa mara ✅️Kupungua uzito bila sababu ✅️Kuchoka sana ✅️Kuona ukungu ✅️Vidonda kupona polepole ✅️Kuwashwa au maambukizi ya mara kwa mara (hasa sehemu za siri) ⚠️Ukiona dalili hizi, ni muhimu kupima sukari mapema ili kuepuka madhara makubwa. #kisukari #congolaise🇨🇩 #mozambique🇲🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokviral

Afya Imara
Afya Imara
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 March 2026 15:14:58 GMT
3578
19
0
3

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @drbenedicto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About