Nimekuwa wa kwanza leo wajina na barikiwa sana kwa mafundisho yako🙏🏾
2026-03-24 16:07:33
38
madam Lesia :
Dada barikiwa sana nilikuwa mwisalamu ila kasasa nimebadili dini kwa yesu nayaona mengi sana yaan kikusikiliza nawe huwa sichoki natamani ungekuwa karibu zaidi
2026-03-27 14:07:14
6
helena💞💕💞 :
yes yes yeeeeees aiseee nipeni kiti nikae niadithie 😅😅
2026-03-24 16:10:07
10
Rebby vijora :
Naanzia wapi kusimulia 🥹🥹
2026-03-28 04:46:37
0
NEEMA KOINASEI designer :
asante sana ex wangu kwa kunipa mimba na kuniacha nimeishi kwenye kusudi la mungu
2026-04-05 07:32:30
2
Tinnes Robert 🦋🐦🔥 :
I definitely have a testimony for this 🙌🏽😁😁 I just Love my GOD sooo much maana without that nisingekuwa the way i am today.
2026-03-24 22:22:23
5
sheistori :
Ninaushuhuda na hili dada🥰❤️
2026-05-15 12:25:09
1
Angelina :
yani maumivu niliyo nayo mungu ndoanajua ilaa nimechoka sana jamni
2026-03-25 12:14:17
4
bevaray Dastan :
Cjui nisemeje lakini Mungu akubariki🥺
2026-03-24 17:27:54
1
Gladness :
Amen 🙏
2026-04-23 06:19:43
0
Mourine-James :
Uko sahihi kbs.Jambo hili lilishawahi kunipata na maumivu yale yalinipelekea kuwa hivi leo
2026-04-26 14:40:58
0
user37785938762214 :
mungu wambinguni azidi kukutunza kwaajili yetuu 🙏🙏🙏
2026-03-24 19:34:45
1
fufumarkhaircuting :
Amina
2026-05-09 12:14:09
0
charles :
ubarikiwe sana mwana wa mungu
2026-04-21 05:24:42
0
Magreth Munga :
ameni
2026-05-08 07:23:35
0
Allani Menase :
Amen and Amen
2026-03-24 16:35:07
0
GEOFREY_ NYEMA :
Amen 🙏🙏
2026-04-28 12:50:54
0
dorahnana🍓🍓🍓 :
Amen 🙏
2026-04-12 11:53:14
0
annita16 :
Amen 🙏
2026-04-03 04:43:05
0
Ntacomfilyne :
Awa unanibariki sana dada
2026-04-02 23:53:33
0
Suda the mamy :
very true
2026-05-10 06:05:11
0
nanakiss28 :
Ndioo 💯💯
2026-04-03 07:51:59
0
Dai David :
Amen🙏
2026-04-06 10:31:31
0
barakamichael73 :
akika ameni ameni ameni
2026-05-16 07:04:35
0
ASILI DIVINE :
Amen Amen Sis
2026-03-24 16:39:27
0
To see more videos from user @beatrizawarenessministry, please go to the Tikwm
homepage.