@ngovi_tz: Dini ni uwongo babu wa TikTok😳

Battletv_Tz
Battletv_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 March 2026 19:02:05 GMT
138505
3216
412
622

Music

Download

Comments

omarsalum479
Omar Salum479 :
Hakika ahadi ya Allah ni kweli kwahio mzee kuwa makini sasaiv umelala lakini ipo siku utaamka na itakuwa umechelewa sana
2026-03-25 03:16:07
188
shukuru947
shukuru94 :
Leo mzee umeongea point sana
2026-03-25 01:45:45
150
twins.daughters2
twins daughters :
mzee ww umelaniwa
2026-03-24 21:13:29
68
laitani28
habib alby :
jibu swali ukifa waenda wapi?
2026-03-25 04:12:04
22
kifaranga5
user4504388976795 :
ulivyosema huamini kama kuna moto nimeamini zaidi kweli kuna watu wa motoni
2026-03-25 03:33:20
55
shallymahmoud
Shally Mahmoud :
jaaaamani, mungu akupe ufahamu, urudi kwenye imaani
2026-03-25 06:41:58
28
mtumishi167
mtumishi :
Mungu akusamehe kabisa bila dini ulimwengu ungekuwaje,
2026-03-25 04:14:44
16
user9653194794218
12 :
inalilah wainailah rajiun.weee mzee pumzi icikuhadae
2026-03-25 03:21:34
39
user7666179182337
bahatisitini :
tunaojitambua kama huyu mzee gonga like hapa
2026-03-25 14:27:41
36
kimanigatithi
kimani Gatîthî :
The awakening is unstoppable 😁
2026-03-26 05:09:34
20
manfred_manisha
manfred_manisha :
Hii sio akili hii ni laana
2026-03-25 18:15:35
15
shunyshuny1
Shuny :
Utaamini siku utakapo uona
2026-03-25 11:50:55
15
ankolee7
Anko Lee553 :
SUBHANALLAH…… Allah atupe mwisho mwema ameen
2026-03-25 14:27:05
9
iddysakilima8
iddysakilima8 :
unamatatizo sanaa ww mzee unazehka vibaya mnoo
2026-03-25 11:47:01
10
jaymasterjay66
@sparrow66 :
We mzee ushapoteza ramani 🙌🏻
2026-03-25 13:04:29
8
herryjacko2
Herry jacko :
Mzee yuko sahihi kabisa!!
2026-03-25 12:43:13
14
tom_sixtynine
Its_Tom :
Kumbe tunaotumia akili zetu kisawasawa bado tupo wengi💪
2026-03-25 09:42:14
51
guardiola835
Guardiola :
mungu akuongoze
2026-03-25 12:59:14
6
wwwfhcf
wwwfhcf :
Huyu mzee ni smart sana
2026-03-25 22:36:07
6
ubayaubwela39
Dhunia Musijisaau Na Ticktok :
innalilalhi waina ilahi Rajiun
2026-03-25 03:47:09
15
rashidharoun3
rashid haroun :
Ina lillah waina illahirajighuuun 😭😭😭😭
2026-03-25 15:29:34
6
buza_laundry
Dobi Online Mama Fua :
nimemsikiliza babu naona yupo sahihi.
2026-03-24 22:35:37
35
saniakhalfan
saniakhalfan :
inna llilah wainna ilayhi Rajiuun...
2026-03-25 12:14:44
5
mohamed.jaffer0
Mohamed Jaffer :
innalilahi wainailahi rajioon
2026-03-25 13:03:33
5
lubasi8
swamad abdalla :
pole sana ww umepotea
2026-03-25 06:57:41
8
To see more videos from user @ngovi_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About