sasa hii dyo type of music manasema inaweza toa diamond number one
2026-03-25 08:20:01
76
denko chirchi :
ya bien ni kama chorus tu but mahali kuna utamu kuko ni kwa king kiba mwenyewe nani anakubaliana na mimi
2026-03-25 17:48:15
148
ASUU :
Amechemka Bien
2026-03-25 06:54:32
264
d.byser :
nimeachana na ex wangu jamani..AM SO HAPPY 🤣🤣🤣
2026-03-25 17:19:57
45
W.A.N.J.E.R.I :
Was waiting for Bien line 🥰🥰🥰
2026-03-25 07:47:08
61
Kassriz KC :
Bien amechemkaaa amechapwaaaa #finale
2026-03-25 07:11:38
27
Smartgirl💞💝👌❤💯✨💥🔥 :
𝑖𝑖 𝑛𝑖 mbayaaa😘😘😘😘
2026-03-25 04:09:04
25
Ms Miner♥️ :
Ni nzurii lkn haichezeki km Am So Happy😁😁
2026-03-25 09:06:17
9
Dady_faris :
Humu tu
2026-03-25 08:53:28
29
S̺͆M̺͆A̺L̺L̺ ≋G🇰🇪🧢 :
shout out to kompa🔥
2026-03-25 07:11:46
10
Seif juniour🇹🇿 :
Sasa hii ndio nyimbo😆😆😆
2026-03-25 15:48:21
17
Adinda🇰🇪🇺🇲 :
hii wimbo ni kama ni ya Arsenali
2026-03-26 19:34:53
15
Fridashla 🤗 :
kompa kompa ye baba 🥰🥰🥰🥰
2026-03-25 08:00:51
15
REALMALE💀 :
Leo silali🥰
2026-03-25 06:30:25
7
xhebby danga 360 :
by the way finally tumejua kipi ni kipi ... sema musiki ukisikiza unaweza weka repeat mode cku mzima... alafu kuna ulee ukisikiza mara3 basssssi.. najua mnajua nazungumzia nn.... only One King💯🫶🤴👑
2026-03-25 05:33:07
18
donald mmbaga :
kwa wasiojua muziki hawawezi kujua lakini kwa wanaojua muziki na nini maana ya muziki wanajua ali kiba na biien wameua sana kwenye ngoma ni nyimbo ambayo inaingia masikioni na una uwezo wa kuisikiliza wakati wowote na muda wowote🤩
2026-03-25 17:00:39
15
dray :
Leo silali🎼🎵
2026-03-25 09:12:38
12
Mr.William :
Bien says “Na siwezi wacha nyama, Tena huwa skulangi sana” then alikiba comes and says “Agizia Dorime, billy ya Ally, hakikisha hiyo bill asipewe Mwingine”. 🙌🙌🙌ni fire si fire 🔥
2026-03-27 23:17:01
7
isack_223 :
Sisi tulikwambia Alikiba ukimshilikisha tuu kwenye Ngoma yko lzma upoteane😂😂 mbali na yote BIEN u’re the Best but c kwa KING🫵
2026-03-25 11:19:48
7
ijustwanttobewithyou🥰 :
finale🔥🔥🔥🔥
2026-03-25 03:51:17
9
Collins :
Omwami himself 👏👏👏
2026-03-25 03:13:01
11
mariekelsey11 :
goat bein😘
2026-03-25 08:38:31
5
fidel :
mziki iko kwenye repeat ali k ameua🫴🫴
2026-03-25 07:30:05
6
SHANIA :
2026-03-25 05:29:05
7
To see more videos from user @king_yapsud, please go to the Tikwm
homepage.