@001fm.kenya: Vijana katika Kaunti ya Mombasa kupitia mpango wa TUKO KADI wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha kama wapiga kura, huku zoezi la usajili likiendelea katika Chuo Kikuu cha Kiufundi Mombasa (TUM), lengo kuuu ni kuhamasisha ushiriki wa vijana katika demokrasia. #fyyyyyyyyyyyyyyyy #mombasatiktokers #likonitiktokers #busiatiktokers

001FM Kenya
001FM Kenya
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 25 March 2026 11:36:50 GMT
283
16
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @001fm.kenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About