@mbundason: MWANAMKE UKITAKA KUFANIKIWA KATIKA NDOA YAKO. Jifunze namna bora ya kuongea na mume wako,mara nyingi sana wanaume hawapendi makelele,madam kaongea point sana ni nasaha ambayo mwanamke hususani ulie kwenye ndoa kuizingatia. #jifunze #inspiration #mwanamke #marriage #relashionshipgoals

MBUNDASON 🇹🇿
MBUNDASON 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 March 2026 11:40:01 GMT
201960
8026
113
710

Music

Download

Comments

user8601383429637miss
Raimundinha :
Sasa kama amenikosea?
2026-03-26 11:01:26
16
kristab44
kristab44 :
Mi wangu kanambia amechoka kila siku namtumia msg za kulalamika😂😄😭 nakibao kinakuja kwangu kweli 😄 wanaume 🙌
2026-04-08 10:34:33
7
nonolyzer2
🤍 :
na ss tusiojua kuongea tunafanyaje?!
2026-04-03 14:27:01
6
magongo.gang123
Magongo Gang12 :
ndio mm huyo dada nakweli amani nimeipata
2026-03-28 03:00:46
8
subira.maganga
subira maganga :
Wala hujakosea dada🥰
2026-03-26 18:22:18
5
ellencoster1
ellen :
kweri my dear Asante Kwa ushauli nikweri kabisa Wanaume hawaitaji makelele mwanaume siyo mtu waku shindana nae
2026-03-30 08:04:23
5
zu_.mwani
Zu_ Mwani :
Saikolojia ya juu sana. Asante madame Layla
2026-03-27 07:46:21
9
nasra.yateri
Nasra Yateri :
iyo kugeuziwa kibao ni kweli hundred 💯 👌
2026-04-27 11:54:31
8
yochebed45
yochebed :
kweli kabisa
2026-04-01 07:01:43
2
fatma.wasonga
fatma wasonga :
inataka moyo
2026-05-09 09:48:59
3
mary_chelula
marychelula :
asante sana dada hilo nijambo jema
2026-04-07 11:56:53
2
hmb8687
TUNU❤️ :
Ww unafanya ivo??
2026-04-25 09:06:10
2
lastbrn982
lastbrn :
waooo
2026-03-30 17:03:09
2
asnathkawale
Asnath Kawale :
shukran my sst🙏🙏
2026-05-11 08:14:18
1
user4609746206942
user4609746206942 :
𝚗𝚊𝚔𝚞𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚍𝚊𝚍𝚊 𝚊𝚗𝚐𝚞
2026-05-07 07:27:07
1
pendo.samwel63
pendo samwel :
kweli 🥰🥰
2026-05-06 13:34:06
1
irene.mapunda2
Irene Mapunda :
haswaaah
2026-05-07 22:09:18
1
user80619133857078
chamy baby :
kbs
2026-04-16 19:37:58
1
user12070561078788
haitham :
kwl kabisa dasa
2026-03-29 07:46:37
3
nanaasimba
Nanaa :
sahihi kabisa
2026-03-30 11:39:37
2
bayyo89
eliza bayyo :
nimeelw
2026-04-28 20:04:00
1
tatucute59
tatucute :
mm nakupnda bureeeeeeee mamy
2026-04-26 19:26:53
1
bintyidrissa
@binty :
Hhh
2026-04-19 15:39:06
1
mamy.collection8
mamy.colection :
ahsante nashkur sana
2026-05-10 22:26:00
1
mery06981
M⭐️e💓r🎄y. OG✍️ :
waooo
2026-04-11 09:27:57
1
To see more videos from user @mbundason, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About