@planetmanyanda: Kama unaotaga ndoto hii basi kuamakini

Manyanda African Power
Manyanda African Power
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 March 2026 12:48:49 GMT
121117
6878
220
299

Music

Download

Comments

yandila2022
yandila :
nilikua naota Niko kwenye mitihani....halafu sielewi hata swali Moja😃😃
2026-03-29 14:19:05
16
elizabethboniface12
elizabethboniface12 :
Tunaomba dawa ndoto hii inanisumbua sanaaaaa kweli kabisaaaa
2026-03-25 18:09:51
32
gertrude.michael
Gertrude Michael :
ndo ndoto ninayoiota mara kwa mara ni nina miaka miingi sana
2026-03-25 13:39:30
8
user7499748213733
fettythebosslady :
kaka me naotaga kwel nipo shule😊
2026-06-15 02:40:44
2
gloryangel230
Glory Angel :
mimi jamani naota niko na nilio soma nao
2026-03-29 17:18:28
3
mwanaidimomba
mwanaidi :
nisadie Namba sizion kaka tafazal naomba
2026-03-25 18:40:09
0
silver2021d
cool blue :
ndoto hii inatesa watu wengi sana mkuu
2026-05-09 09:09:57
1
annambua52
Anna Mbua :
kaka nakuomba unisaidie me naota naongea san mpak naka kitako uku naongea vitu havielewek nisaidie naomb
2026-05-28 20:04:42
2
kakampole26
Kaka mpole☺️ :
ndoto yangu pendwa
2026-03-25 20:03:43
3
deborazendaya
Debora Zendaya :
kak manyand mbon mambo yako mengi ni mim ninayo ndoto za shule naota sana sana san naomb nisaidie kak 😪😪😪
2026-04-06 07:29:26
0
shijamarco52
Mr Mac phone and accessories :
kk una sema kwel kk me nilikuwa mwanafunzi wa famasi mwanza city college iyo ndoto ilitokea na sikuendelea tena na chuo na ada ya chuo
2026-04-06 16:30:10
0
marthakelvin572
Martha Kelvin572 :
inanisumbua
2026-05-20 20:05:12
2
user4475881913465
user4475881913465 :
mimi naota nipo drs la nne
2026-04-09 14:54:36
1
zarma379
zarma :
sasa namba hatu zione
2026-03-26 18:54:42
2
madame.hajrat
Madame Hajrat💅🤗👇 :
Mimi naota sana mapolic inamaana gani
2026-05-11 16:21:15
1
yonakofea
yona nyamulundwa :
hiyo naotaga sana nisaidie brother
2026-05-16 20:57:22
1
rukiamatola
matolaproduct :
Mm ndo ndoto yngu Hii nikilala hata mchana mungu nisaidie mm
2026-03-25 14:07:13
2
matolemaa
mama wa neema :
kaka mm ndo naota sana msaada jamani
2026-05-07 13:56:06
1
tatuncute
realreecute :
naomba nisaidie kaka nimeiota jana tyu
2026-03-27 20:30:32
1
mahogo.family
mahogo family :
daaaa hizi ndoto naona sana kaka
2026-03-26 08:30:01
1
roycekafuba
ROY🦋 :
na je kwa ambao atusomi kabisaa ila iyo ndoto ndo imekuwa njozi ya kila siku hii nayo imekaaje
2026-03-25 13:24:22
1
chankungu
chankungu :
kaka me naota sana na kila nikiota nipo na mtu mmoja ambaye nimesoma nae,yaan habadiliki ni huyohuyo mmoja tu,na advance sikusoma nae lkn namuona
2026-06-19 17:59:01
0
user3983669869213
habby :
nikweli nnshida
2026-06-16 07:53:23
0
kesianafula598
Kesia [email protected] :
ndio Mimi hapa naoata nikiwa darasa la kwanza naomba nisaidie
2026-06-12 11:35:43
0
user9817832000256
mamy ashura :
salima,mariyamu
2026-03-25 13:42:25
0
To see more videos from user @planetmanyanda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About