Kutosuburi perfect time
Kuanza kwa kidogo
Kujaribu ata kama itafail
Copy but improving it
Dominating it
Hizi tu zinatosha kwa kuanzia aseee kama nitajaribu nitatoboa.
ASANTE DADAAA
2026-04-29 04:25:56
41
mpyanjo mpyanjo :
ubarikiwe dada
2026-06-19 19:08:43
0
@I'm_ Mc :
God bless u there and take much ms Okessa
2026-05-17 21:41:56
5
Victor Burchard :
dada..asante kwa haya madini..lessons learnt!
2026-04-13 09:48:57
28
mosesi wilyson :
asante dada angu🙏
2026-05-28 18:31:05
1
Dr.Bando 😅 :
nauzá bando wanangu
2026-04-24 08:54:41
10
Akwilina Mbaza :
Wakati tunzaa mwaka 1998 walikuwa hawajui hat kutumia compyuta lakini sasa hivi wako mbari
2026-04-21 18:43:23
18
Mitupio :
Wanapanga lakin wanafanya maamuzi mapema maana huwez kulifanya jambo bila plan
2026-04-27 11:44:23
17
Materu Don :
asante
2026-06-02 19:37:29
0
lemsha :
very true
2026-05-27 03:09:33
0
agripinamissama48 :
Asante sana kwa kutupa elimu
2026-05-16 02:43:24
5
Rafiki ArtWork :
I like the energy in presentation
2026-04-23 08:14:02
6
Jullio Scaver :
nakubali mamtu
2026-04-15 03:46:27
5
kulwa simba :
kweli kabisa mm nafanya nao kazi.wapo ivo
2026-05-24 12:18:12
1
Dereck Muya :
uko sahihi sister sisi tumelala sana
2026-05-27 18:02:20
0
shokolokubango_she :
asante sana Okessa kwa kujifunza na kushare na sisi mawazo mazuri
2026-04-26 07:28:25
6
Hamisi Shabani :
Asante kutuletea haya na sisi tunajifunza kupitia wewe barikiwa🤲🏾🙏🏾
2026-04-28 12:09:09
5
my_shoes255 :
Dada Okessa daima najifunza vitu vingi kwako Mnoo mnooooo mnooo pia namshkuru Mungu na ww ni mkatoliki hivo i learn alot Mungu akubariki sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-03-25 15:32:30
5
marian :
nakupenda bure okkesa🙏
2026-05-18 10:26:36
1
Modern Edge Interior :
nimejifunza kuhusu wachina ila nimependa zaidi iyo energy yako🥰
2026-05-28 06:44:04
1
Mwachanje Jr Jay Jay :
asante
2026-05-17 18:34:03
0
FAMILIA :
babuuu nimekuelewa naanza babu
2026-05-18 07:32:02
2
Omary Ntimizi :
给你留个小红心❤️❤️
2026-05-16 12:11:40
2
Kuyonza Kini :
unaongea mambo ya msingi sana dada, najifunza mambo mengi sana
2026-05-29 07:58:19
0
Augustine Thotho :
You articulated that so well my sister, i had to follow.
2026-05-17 06:55:42
5
To see more videos from user @okessa_, please go to the Tikwm
homepage.