@finishingmaster: Sikukuu imekwisha — sasa ni kazi tu! 🔥 Timu ya Finishing Master imeshawasili rasmi nchini Kenya 🇰🇪 na kazi tayari imeanza kama inavyoonekana kwenye video. Ratiba inaendelea pale tulipoishia — safari hii tumekuja kwa nguvu kubwa zaidi! ✅ Vikosi 2 kutoka Tanzania ✅ Kikosi 1 tayari kilikuwepo Kenya ➡️ Jumla: Vikosi 3 kazini Na tumeleta full package ya mashine za kisasa: 🔹 Mashine za plaster 🔹 Mashine za skimming 🔹 Mashine za kupaka rangi 🔹 Mashine za gypsum 🔹 Mashine za kusaga (masasa) 🔹 Na nyingine nyingi za kisasa Kwa kifupi… Kenya moto unawaka! 🔥 Kasongo Ruto tafadhali umeme usikatike 😄 hadi miradi ikamilike salama. 📍 Upo Kenya na unahitaji huduma bora za ujenzi na finishing za kisasa? Finishing Master tupo tayari kukuhudumia popote ulipo. 📞 🇰🇪 Kenya: +254 105 073 201 📞 🇹🇿 Tanzania: +255 659 410 501 📞 🇺🇬 Uganda: +256 793 073 926 📲 WhatsApp Booking: wa.me/message/PR5EPBPEXLYKI1 📸 Instagram: @finishingmaster Finishing Master — Namba Moja Afrika Mashariki kwenye finishing za kisasa. Karibu sana!