@jg_medics: MIRIJA YA UZAZI NDIYO NJIA YA YAI LAKO KUPITA ILI MIMBA IKATUNGWE KWENYE MFUKO WA UZAZI HIVYO KUWA NAYO MAKINI. #uzazikwamwanamke #zanzibar #minneapolis #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

Micky | JG MEDICS
Micky | JG MEDICS
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 March 2026 22:19:59 GMT
883
22
1
0

Music

Download

Comments

shakila.idrissa
Shakila Idrissa :
Habari yako mi nilifanya vipimo vya ultrasound nikaambia nna viuvimbe kwenye njia ya uzazi kulia na kushoto nikatumia dawa Lakin bado na nnashida ya kupata mtot unanisaidiajee
2026-03-26 11:54:52
0
To see more videos from user @jg_medics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About