@pilitoni2: #babaatu#comedy#babaatugubupromax🤣🤣#officialmamaatu

piliton
piliton
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 March 2026 04:21:30 GMT
2102714
89535
3695
6303

Music

Download

Comments

marygjwzvuv
MaryG Collection :
kwenye hii ndoa simalizi masaa mawili 🙌
2026-03-26 20:06:56
1878
samsoni002
king of humankind :
hili ni funzo anaigiza lakini ni fundisho kuna wanawake wana pitia uhalisia huu wa maisha ...mungu awasaidie jaman
2026-03-26 17:15:24
1429
rehemakapesa209
MRS MONJA 🌹🌹 :
Kaka unajua Sana napenda content zako
2026-03-26 05:46:05
561
tips2107
@tips :
siku moja moja tupe behind the scenes 🙌🙌😆
2026-03-26 05:50:59
489
ibrahim_gamer650
IBRAHIM_GAMER :
jamaa anaongea kama chart GPT😅
2026-03-27 11:36:18
817
user32211876514162
NeyBrayson🥰👩🏻‍🦰 :
Kaaah 😂😂😂yan ningekuzaba kofi moja usiongee maisha
2026-03-26 19:34:24
248
naifatali417
N@i🥰💖mul£ :
hili gubu promax khaaa😁😁🙌
2026-03-26 12:04:39
236
user46608688184371
saida yusuph :
mmh! mwanaume huyu hapana kwakweli ☺️
2026-03-26 05:54:46
144
kp.kipande
Kp kipande :
unaongea sana , njaa itaongezeka ...😁😁😁
2026-03-26 08:38:07
108
happymsuya447
❤️❤️Happie❤️❤️ :
🤣🤣🤣🤣10/10 nalipa chap
2026-03-26 18:31:39
17
husna.bozz.mwinyi
Da huu mudathir♥️😍 :
ahaa hapana nitaachwa siku moja😂😂😂
2026-03-26 09:33:50
112
fairsngogo
Ngogo Daughter🥰 :
M ningeanza kulia😂😂😂
2026-03-28 10:32:22
75
abbyjohn002
jj :
Nimecheka mpk nikadondosha iphone 17 yangu ya orange kwenye range rover sport yangu niliyonunua south africa nilivoenda vacation kwa hela yangu mwenyew bila msaada wa mtu
2026-04-18 09:05:10
25
user3385980199399
Remminister :
mbona nimechoka utadhani naongea mimi🤣🤣
2026-03-26 18:54:18
64
adventner
adventner@ :
mama atu anapenda kujiamlia mambo 😂😂😂
2026-05-24 23:44:13
5
believe7674
ALLY...🦅 :
umeona kuona video haitoshi umekuja kusoma comment hongera mwanetu
2026-05-22 15:53:11
6
prince_aryan2025
Baby aryan&mom❤️🔐🦋 :
10/10 njoen
2026-03-27 12:13:09
5
nattymmy
asnlove🦋 :
jua linawaka unawasha taa mama atu🙌
2026-03-30 20:21:58
10
glambox20
glam by Ferdnand'z :
wallah ningekuulia usingizini
2026-03-26 21:14:47
73
raisiwagenztz2026
Raisi wa watoto wa elfu mbili+ :
aaah huyu haigizi I think ndivyo alivyo maana🙌
2026-05-21 08:30:44
5
ibbu.tz
IbbuTZ :
Hii ndio maana halisi ya gubu sasa 😁😁
2026-04-15 12:21:40
11
vonnieh1
HeavenNdanshau🦋♥️😏 :
Mkuuu mkuuu mkuu apana aise
2026-03-27 19:03:58
35
most68078
Unknown :
Unataka niongee nionekane naongea ko apo bado hujaongea 😁😁😁😅
2026-04-05 16:25:03
22
ms.eminent3
Ms.Eminent🌸💞 :
Mwanaume mwenye Gubu kama baba atu Mungu niepushie🥺🙏
2026-03-27 06:09:17
39
nachambo.princess
rahabu🦋❤️ :
af usikute baba atu ata live yupo ivo ivo😂
2026-03-27 07:00:28
11
To see more videos from user @pilitoni2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About