@vikuba.og_collection: Replying to @Fifi collection Part 115 : #STORYTIME #somomtoto #tujifunze

SOMO MTOTO ♎️
SOMO MTOTO ♎️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 March 2026 08:49:37 GMT
21788
981
129
214

Music

Download

Comments

tuma5051
Tuma🫥 :
Allah akueke kipedh lkn unaongea uhalisia haswaa 🤝 wanakuchekea ukiwepo ukiwapa visogo siyo mwema tena kwao wakwe mawifi magunia y misumari 🙌
2026-03-26 09:43:46
20
hijabyqueen49
Daddy's daughter 🌹❤ :
Mashaallah siz najifunza kutoka kwako wallah hata nikiolewa itakuwa nimejifunza mengi
2026-03-26 11:03:14
5
husnayaan0
@Husnayaan :
Nakubali asilimia zote, nimekuwa mbaya baada ya kudai kukodiwa nikaishi peke yangu badala ya kukaa na wakwe 🥺
2026-03-26 12:16:02
5
h.ummy1
refresh delights cafee :
poleni mnaopitia kwenye hizo changamoto mungu azidi kuwapa nguvu
2026-03-27 12:44:56
4
nourlish.collection
Nourish :
Shukran kwa nasaha njema habibty ;: ukweni wakiswindwa kukutumia watakavyo basi hakuna jina baya utakosa kupewa
2026-03-26 14:17:29
3
mrs_omy0
Mrs omy :
Kunywa soda nakuja kulipa
2026-03-26 10:16:30
3
chalamuu3
Chalamuu Ladies Outfit🇴🇲🇹🇿 :
Kwa kweli Alhmdullillah mwenyez Mungu ndio tegemea lang 🥰🥰
2026-03-26 10:23:40
3
talaya921
Talaya :
kabisaaaaaa yaniiiiii
2026-03-28 10:36:39
3
lamarash82
lamarashcollection...👍 :
mbn unasema kweeli mhhhh🤣
2026-03-26 10:40:12
3
myyy2195
myyy :
Pambe htr
2026-03-26 11:42:41
3
auntytuu
@perfect_beauty_zone :
Wifi yangu nitakupenda buana mm wallah..😂😂😂😂popote ulipo..mm nitakua huo upande wapo wanaopenda wifi zao sawa wii wangu ujae
2026-03-30 08:20:50
3
fatma97049
Fefe🌺 :
Me nakuelewa sana somo 💯
2026-03-26 20:17:15
2
zabibusudy1
العنب🍇 :
Watu kitu😂😂😂
2026-03-26 15:30:02
2
kauthar.collectio
KAM@ _collection 👜👜👢👡 :
Kunywa soda nitakuja lipaaa. 😂😂😂😂😂😂🏃‍♀️
2026-03-26 17:10:12
2
marmanlove
peace and mind :
mungu awape wepes kila anaepitia mithani katika ndoa yake
2026-04-10 03:58:04
2
quit.mamu
quit mamu💕💕 :
Tupo.. Somo mtt🥰🥰
2026-03-26 09:20:11
2
zainabuomary967
zaynab🥰 :
allahmdullah🤲
2026-03-26 08:54:34
2
marya_disings0
Marya designs :
nikweli kabisa habibty
2026-03-26 09:45:15
2
maulidhadia
ummy imran :
asante dada umenikosha
2026-03-26 10:24:49
2
user7994157208502
official hawajumakalekeza@gmai :
yanii kabisaaaa sahihi
2026-03-26 13:12:57
2
luxe_cravingskitchen
Luxe Cravings Kitchen :
swadakt🥰
2026-03-26 10:49:48
2
auntytuu
@perfect_beauty_zone :
Ila hiyo kitu ni kweli jamani ukiacha kumpa mtu alichokua anajua kama ni haki yake ndio utajua rangi yake kama blue au kijani...na hii ipo kwa kila ngazi ya familia
2026-03-30 08:24:25
1
wahidasaeed
Waheeda🥀 :
somo hoyeee
2026-03-27 09:22:21
1
momnim5
Nayna :
absolutely 💯
2026-03-27 19:16:38
1
_.mamychia
mwanahawahemed :
👌👌👌👌👌 uko sawa
2026-03-28 04:52:53
1
To see more videos from user @vikuba.og_collection, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About