Saturn Cooperation Ltd ni sehemu ambayo vijana wengi wenye ndoto na passion ya kazi ya mechanical engineering na technical fields tunatamani kupata nafasi ya kujifunza na kukua. Sisi wanafunzi tunahitaji kampuni zinazotupa nafasi ya field ili tuweze kuunganisha elimu ya darasani na mazingira halisi ya kazi. Pia tunaamini kampuni kama Saturn Cooperation Ltd inaweza kuwa sehemu nzuri ya kujenga future za vijana kupitia internship na hata nafasi za ajira. Tunaomba muendelee kufungua milango kwa wanafunzi wenye bidii na malengo makubwa, maana experience mnayotupa inaweza kubadilisha maisha na career zetu. 🙏⚙️
2026-06-04 16:00:18
0
lifetime 🌿 :
hongeren kwa kazi nzur mko poa sna nakumbuka nlisha kujaga chukua how miaka mitatu ilo pita nadhan NX400 hongeren sana
2026-03-27 07:31:00
0
benjamingideon715 :
kazi ya Watanzania? tangu lini Tanzania tukawa na kiwanda cha kutengeneza magari??
2026-03-26 15:31:52
0
Muna Bhai :
👍👍👍
2026-04-11 06:03:43
0
Brian Mahumbi :
💪💪💪
2026-06-03 14:59:14
0
To see more videos from user @saturncorporation.ltd, please go to the Tikwm
homepage.