mimi nina vidonda vyatumbo naweza kuitumia maana ninabawasiru
2026-06-11 20:48:01
2
user7843396001991 :
samahani vikis ni nini
2026-05-10 23:36:52
2
Espearnce Sudi :
Ok
2026-05-17 02:33:33
3
Mage 💞🤪 :
okay👍
2026-05-07 13:38:27
0
wabuyi :
thanks Dr
2026-04-29 19:42:27
0
feisagym1k6 :
kwavile sote tulikuwa wahanga wa uongojwa huu mm nilipata dawa humu mtangaoni kwa yule dada mtanzania anaishi south namm nisiwe mchoyo wakati mm ilinisaidia kama ww unatatizo ilo chukua vikis nafkiri sote tunajua vikis jipake na nyengine chemsha maji ya moto ila yasiwe moto sana weka kwenye ndoo ya chooni weka na vikis ndani ya hayo maji Kisha kalia ukiwa upo umtupu mm ilinisaidia sana na Sasa nakula pili pili kama kawaida inshallah jaribuni njia hii utakuja kunipa majibu hata iwe imevimba vipi bas inaondoka amini kwamba weka ata kama ni sku tatu mpka uhakikishe imepotea na pia unaweza kunywa huo mchanganyiko wa mwalimu wetu apa anavyo tueleza ila vikis imenisaidia sana sana Tena sana namshukuru mungu na pia namshkru yule dada maana asoweza kumshukuru binadamu mwenzake hawez kumshukuru mungu inshallah nihiyo tu
2026-04-01 08:20:16
21
heartwarming+254 :
bawasiri ina dawa nyingi ni kujaribu na kuomba ipi ifanye kazi
2026-03-27 10:09:13
7
answar abdall :
bawasiri iko na dawa kusema ukweli jamani I've tried several ways of treatment wallahi sasa nimeamua kumuachia mungu mwenyewe ataniponesha
2026-04-13 10:27:16
3
msanginaka🧕 :
jamn kama naomba nisaidie dawa ya kujikuna kama aleji vipele mwili mzima
2026-05-24 11:11:44
1
Zulymo :
Hata kama ni bawasiri ya ndan
2026-04-14 07:25:28
0
Djamila masika :
mimi pianisaidieni plz nasumbuliwana maotea kuenyesehemuya Sr nifanyeje
2026-04-20 01:04:33
1
By_hasnaت :
Tiba ya gesi tumboni jmn
2026-03-30 14:11:57
1
happy 😊😊 :
Mtatuuwa jaman tangawizi???
2026-06-22 20:14:44
0
Telesphore :
kaka naomba ya h.pilory, nimetumia za hospital napata nafuu tu...
2026-03-27 14:27:10
0
Agatha Emanuel :
tiba ya kuongeza dam kwa mjamzito
2026-05-12 08:27:20
0
Gift official :
dawa ya utiai dokta mana inanisumbua sana
2026-05-25 08:18:04
0
Leilah :
nyama za pua doct tiba yake jmn
2026-05-08 17:11:20
0
Sabina Wilson :
🥰🥰
2026-03-27 10:31:28
2
To see more videos from user @vida_afya, please go to the Tikwm
homepage.