@tbc2_online: Kutoka kwenye dancing industry, @noseiyobo amefunguka kwa staili ya kuvutia akielezea jinsi @diamondplatnumz alivyoipenda challenge ya wimbo Mawazo iliyotikisa hadi kwa mashabiki wa Kenya. Ameenda mbali zaidi kugusia kuwa kipindi hicho hakikuwa rahisi kwao, walipitia changamoto nyingi nyuma ya pazia, lakini leo hii mambo yamebadilika kabisa kutoka hustle za kawaida hadi maisha ya hadhi ya juu, wakisafiri kwa private jet! Ni simulizi inayoonesha kuwa uvumilivu, kazi na kuamini kile unachofanya vinaweza kubadilisha kabisa maisha. ✍️ @mpangalajr_ #2Digital #TBC2Updates #TBC2Yakijanjazaidi