@tamusanaa: BARA BARA YA JANG'OMBE ILIVYO SASA Ahsante raisi wetu dr mwinyi kwa kutuwekea sawa miondombinu mizuri ya bara bara #drmwinyi #barabarasafi #ilaniyaccm

Mr Tamu🍫
Mr Tamu🍫
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 March 2026 17:44:01 GMT
75269
2602
114
430

Music

Download

Comments

kulty44
kulty :
Allah amlipe pepo yake Dr mwinyi ameen
2026-03-27 05:16:51
55
alimoha1990
Moha+91 :
sijaona cha ajabu
2026-03-27 18:56:46
11
maria.44440
zanzibar ❤️ :
MashaAllah tangu dunia kuumbwa hakuna rais anaeipenda zanzibar kama mamasamia na mwinyi
2026-03-30 08:51:36
2
aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Nishamiss zanzibar jaman niombeen nirud salam inshaallah
2026-03-27 15:38:40
3
user9571697980568
boban :
dk mwinyi hana mfano
2026-03-28 13:54:09
1
sherry.mo2
sherry mo :
mungu ampe maisha maref jmn miaka 100 mbele
2026-03-27 14:58:40
4
luqwi3
Lunwi$e :
sauti ya utangazaji asaa,
2026-03-27 10:51:31
2
abdul_latwyif
Abdul_Latwyif :
Ma sha Allah, wasije wakaziiba tu
2026-03-27 15:28:00
10
user5037768755633
Angelina :
Hongera Dr Mwinyi
2026-03-30 07:29:06
1
mrkaisaleh
MrkaiSaleh :
Mwiyi hongera
2026-04-08 07:55:14
1
user4117502267012
Saleh KiRoMe77 :
zipo bomani
2026-03-27 20:10:31
1
hassanwaziri637
HASSAN :
safi kabisa
2026-03-27 06:34:12
2
muslimsleym6
Sleym mahmoud :
ahsante mwinyi kwa mazingira home kwel panangaraa. sana mashallah
2026-03-27 06:15:43
9
omarmbarouk472
Godogodo :
inamana sio samia
2026-03-29 10:29:27
1
user9533521997010
user9533521997010 :
katika rais ambaye kainyanyua zanzibar n babaetu mwinyi asiempenda mwinyi ata mungu hayupamoja nae mungu ampe maisha maref rais wetu
2026-03-27 14:40:36
15
choumahmed
Choum Ahmed K :
naona ya magomeni imeoza vibaya sana
2026-03-28 15:43:41
1
elabdoul7
EL AbdouL :
Maasshallah 🥰
2026-03-27 08:19:57
1
wardah_malick
wardah :
Ameen Yaarab Allah tuekee Rais wetu
2026-03-27 10:34:03
1
asseyd.hassan
Asseyd Hassan :
duuuh ipo pow sana
2026-03-27 07:44:21
1
usermmr2023
Truth :
ipo vizuri sana
2026-03-27 12:09:50
1
texasdio04
tex@sdio45 :
Asante ponera umetuheshimisha wazanzibar
2026-04-22 10:02:57
0
user315853380304
user315853380304 :
munamsahau sana mama samia
2026-05-19 05:13:36
0
user6128184613147
rio bo y :
natelea2
2026-06-15 20:49:40
0
rajabutingisha677
rajabutingisha677 :
mwinyi mama
2026-03-28 14:23:38
0
To see more videos from user @tamusanaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About