@drbenedicto: Dalili za kisukari *Kukojoa mara kwa mara *Kiu kupita kiasi *Njaa sana hata baada ya kula *Kupungua uzito bila sababu *Kuchoka haraka *Vidonda kupona polepole *Kuona ukungu *Kuwashwa au maambukizi ya mara kwa mara (hasa sehemu za siri) Madhara ya kisukari (kisipotibiwa vizuri) *Uharibifu wa macho (upofu) *Uharibifu wa figo *Mishipa ya fahamu kuharibika (ganzi/miguu kuwaka moto) *Magonjwa ya moyo *Vidonda sugu miguuni (vinaweza kupelekea kukatwa kiungo) #tanzaniantiktok🇹🇿 #usa #congolaise🇨🇩 #mozambique🇲🇿 #tiktokviral

Afya Imara
Afya Imara
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 March 2026 05:13:43 GMT
392
14
0
40

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @drbenedicto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About