@habarimpya_tv: Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Dkt. Jacob Julius Rombo, ametoa onyo kali kwa watu wote wanaomiliki na kuendesha gereji bubu zinazofunga na kuuza vifaa haramu vya pikipiki, akisisitiza kuwa operesheni inayoendelea haitawalenga waendesha bodaboda pekee bali itawafikia pia wahusika wote wa mtandao huo. Amesema kuwa baadhi ya gereji hizo zimekuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa matumizi ya taa zisizoruhusiwa na 'trampa', hali inayohatarisha usalama na kuchochea vitendo vya uhalifu. Hivyo, yeyote anayejihusisha na biashara hiyo anatakiwa kusitisha mara moja kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yake. Dkt. Rombo amesisitiza kuwa Wilaya ya Arusha kwa sasa inapokea wageni wengi na inaendelea na maandalizi ya ujio wa wageni wakubwa, hivyo haiwezekani kuruhusu vitendo vinavyoweza kuchafua taswira ya jiji au kuhatarisha usalama wa wananchi na wageni hao. Aidha, ametoa wito kwa wote wanaojihusisha na biashara hizo haramu kuacha mara moja, akionya kuwa watakaobainika watachukuliwa hatua kali bila huruma. Ameongeza kuwa lengo la operesheni hiyo ni kuhakikisha utulivu, usalama na nidhamu vinatawala katika jiji la Arusha.

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 March 2026 06:04:43 GMT
568933
12629
400
1055

Music

Download

Comments

abdylugete
abdylugete :
hii inchi ni ya ki maku sana
2026-03-27 07:17:18
252
michael.mshiu
Michael mshiu :
mkuu ni sawa ila mkuu na wanaotengeneza
2026-03-27 07:19:22
67
timeandtime119
Time and Time again :
Safi sana 👏👏👏,hizi kitu zinasababisha ajali kila siku.Viongozi wa Arusha wanafanya kazi nzuri.
2026-03-27 06:43:09
20
warushegang
Warushegang :
hii nchi ya ovyo sana ya hovyo sana
2026-03-27 09:52:38
31
bobolito56
bobolito :
who is a importer who charges import duties?
2026-03-27 14:00:49
8
eddychulbul_
Eddy Chulbul Shibulb :
2026-03-27 15:29:54
18
langataurio
lang'ata 🛣️ :
mungu atupe magari tu maan izi dharau zimezidi
2026-03-27 18:55:39
10
verenatriphon
verena :
Kazi nzuri M barikiwe sana Bora muwakamate na taa zitolewe
2026-03-27 13:07:47
4
ally23.6
🚛little driver 🚛 :
hii nayo nizaidi ya utarihi sema amjui2
2026-03-27 08:26:45
19
muganda_845
#DMS :
Iyo imekaa sawa sana mikelele jau
2026-03-27 09:03:15
6
user1348007990973
Charles :
kamata wanao tengeneza kwanza!?
2026-03-27 17:12:09
18
josephfelician
J%seph Felician :
safi sana.yanaumiza macho
2026-03-27 14:10:45
1
abuu.madina
Abuu Madina :
2026-03-29 11:22:32
2
kingkiaratu3
King Kiaratu🫅🫅 :
swali.zimeingiaje dukani?
2026-03-28 11:14:14
6
lulu.cheche.chech0
Lulu.cheche.chech :
Asante Yesu jamani bodaboda kelele nyi gi sana
2026-03-27 10:51:29
5
barikinaftali
Bariki Naftali :
Safiii sanaaa mkuuu
2026-03-27 08:52:26
8
tototundunjombe
TOTO TUNDU NJOMBE HOM :
erim mmmm
2026-03-30 20:46:09
1
user6580826788818
jet mpemba :
akili ndogo sana
2026-03-28 16:57:44
3
frankmakweta
Frank Makweta :
safi officer 👍👍👍
2026-03-28 01:47:18
2
kovidi.naitnii19
fundi homa :
hiyo haiko sw
2026-03-29 20:59:47
1
innossa93
innossa :
2026-03-27 17:05:23
4
malick.abby
Malick abby :
Safiiii
2026-03-27 14:33:15
2
user73615510448734
Jose G :
asante
2026-03-27 09:46:11
2
wwwgmailcom.dadyofficial
dady official🇹🇿 :
hii ich ishkua yakiwaki🥺🥺
2026-03-29 00:56:52
1
florencezawad90
wakiristo famiry :
hii Tanzania inaenda wapi jamani
2026-03-28 12:29:08
3
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About