@abuu.hannan: UMUHIMU WA ADHKAAR ZA ASUBUHI NA JIONI Imaam As-Shawkaaniy Allah amrehemu katika Qatru Al-waliy 📚 Amesema: Basi mwenye kupenda kusalimika kutokana na maafa, na mwenye kutaka kufaulu na kheri za haraka au za kuchelewa basi alazimiane na azifanye kila asubuhi na jioni. 🎙️Sheikh Dr. Muhammad Saeed Raslaan [Allaah Amhifadhi]