@shamuu1232: Allah awarehemu wote walotutangulia awaepushe na moto wa jaanam Ameen

shamuu123
shamuu123
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 27 March 2026 07:34:03 GMT
283859
20979
781
3756

Music

Download

Comments

mama.simba54
Mama SIMBA👶😍 :
😭😭nalilia nafsi yangu sijui Nani atanikumbuka KW dua ama kwa sadaka🥺
2026-04-03 06:48:02
142
user3922082097326
suddyelite :
Allah mrehem mama yangu na umpe nuru kwenye kaburi lake na umswamehe makosa yake. Amiin
2026-04-02 16:52:01
69
pillyomary0
~Mrs Husse!n~🦋🎀🔐 :
Allah awarehemu ndug zangu wote kwa ujumla, rafiki zangu waliotangulia Allah awafanyie wepes na waislam wote ya rabbi😭😭😭
2026-04-02 12:35:54
103
mahannyyasinyazida
zeddy❤️ :
May Allah SWT grant my dad...my grandpa...my grandma's my arera ...my cousin's and all Muslim jannatul firdous inshaAllah ...Amiin...🙏
2026-04-02 08:20:15
17
abdikadir.ahmed988
abdikadir ahmed :
may Allah grant my grandmother jannah and All Muslims
2026-04-01 19:34:25
12
aminagakurya477
Rss :
Allah awarehemu wazazi wngu awajalie pepo inshallah na waislamu wote walotangulia mbele za hakhi Allah awarehemu inshallah
2026-04-02 19:10:32
37
abdika945
Hon Sayan Sayun :
Mungu awarehemu walio tangulia
2026-03-27 08:21:01
38
user4707279670812
user4707279670812 :
mungu ampleke mamgu na brother yangu janatul firdos 😭😭😭
2026-04-01 05:02:21
13
user67834517558693
muslima abdi :
yaarbi wahurumie wale wote waliotangulia sote tutaonja umauti
2026-03-29 10:11:48
22
auntymommy5
auntymommy :
mrehemu babangu dadangu kakangu mjomba Allah warehemu niliwapenda sana Allah awaepushie adhabu ya kabri....
2026-03-31 18:38:39
21
user1168412198016
Abu Imran :
Allah amrehemu babangu na brother yangu 😭
2026-04-02 11:53:52
14
queentammy34
Queen Tammy :
Allah awa rehemu wote walio tangulia mbele ya haki... 🤲
2026-03-27 17:07:55
18
albertokisanga01
Phat_albert :
Maneno mazito sana...#ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA ....AMEEN!!!
2026-04-04 04:13:16
5
kaliphoniz
kaliphoniz :
walai tumrudie Allah maana Akhera imetungoja😭😭😭
2026-04-03 11:19:05
8
sofiamusa455
Sofia Musa :
Allah awerehemu jamii wetu wote waliotutangulia
2026-04-02 13:15:07
8
alafa.aliy6
Alafa Aliy :
ewe yarab walehemu wote waliotanguliambele za haki
2026-04-03 18:15:09
12
cute_sweryder
Sweryder🤍🦋🕊️ :
Allah awarehemu waliotangulia mbele z haki awajalie jannatul firdaus yaraab 🤲
2026-04-02 19:06:36
5
iamfatiha03
Fatiha🌹 :
Yarabb Warehemu jamii islamu wote waliotangulia wape makazi mema nasisi utujaalie mwisho mwema🤲
2026-04-07 12:52:46
9
queen.f81
QueenF :
Allah awarehemu wote waliotangulia😭😭😭🤲🤲🤲
2026-04-02 21:40:03
7
fatuma.balua
Fatuma Balua :
Allah awarehemu wote waliotangulia mbele za haki 🤲🙏
2026-04-02 20:11:04
5
officialmary25
user955091241627 :
Allah awapunguzie adhab za kabri wote waliotangulia mbele za haki
2026-04-03 08:21:11
8
aishachande66
Aisha Chande :
aamina
2026-05-25 11:15:28
1
mangiog256
Mangi Og :
ya allah warehemu waislam wotee waliotangulia chini ya tumbo la ardhi
2026-05-30 09:09:45
1
user9534681811610
Raya :
yaallah yaallah msamehe baba yangu mpe kauli thabiti hko alipo
2026-05-20 17:49:46
1
sigimbi.fundikila
Sigimbi Fundikila :
eee mungu tusitiri
2026-05-15 03:53:52
1
To see more videos from user @shamuu1232, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About