@braza_wa_tiktok: hawa viumbe jmn' 😅🤣🇰🇪🇹🇿🙌 #creatorsearchinsights #funny #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #fyy #tanzaniantiktok🇹🇿 @TikTok

😂braza_wa_tiktok😂
😂braza_wa_tiktok😂
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 March 2026 12:34:59 GMT
160119
8158
1892
265

Music

Download

Comments

estherphilimon538
Esther Philimon :
alfu tuna weka Salio la mwezi tunae ongea nae sasa niwawili au watatu mwisho
2026-03-27 19:13:31
177
neema.eliya6
Neema Eliya :
kwanza atutaki kuongea Wala kuchat😂😂
2026-03-29 14:54:37
161
marlene.akoth
Marlene akoth💖💯💥 :
ata kusave pia ni shida unatafta kwa true caller after two months😅
2026-04-13 17:18:07
10
prince.ommy.d27
Prince Ommy D27 :
mbona kila sifa tunayo sisi tu group 0 kwani shida nn
2026-04-09 12:12:58
47
18mamu2
18mamu2 :
Yani apo najiona mim kabisa some time hata cm yenyewe sipokei kabisaa 😂😂
2026-03-27 17:33:41
61
kamum7231
kamum :
na hatupendi kuongea kwa simu 😂😂
2026-04-07 17:59:04
15
user76155883497402
recho joseph :
ndio kawaida yetu
2026-03-27 12:41:57
44
wilsonmsafiri467
Wilson Msafiri :
me Kila siku sms na dakika zangu Huwa zinakatwaga tu Huwa haziishi😆😆
2026-04-15 06:55:13
26
mama.mapacha.pro.m
mama pacha to be :
😂😂😂umejuwaje simu yangu yaani contacts 100 ila naongea na watu wa 5 tu
2026-04-25 20:19:00
6
mercy0295
mercy0295 :
ulijuaje ni mm hapo umenisema kaukweli
2026-03-27 20:07:48
24
tunumkenda
Tunu Mkenda :
na pia ni wavivu sana kuongea na sim
2026-05-08 23:29:56
8
jeremia.yakobo6
jeremia yakobo :
tujuane tafathali my family 💟💟💟💟
2026-03-28 18:18:03
8
malisabuni
Mali Sabuni :
😂😂😂hii kweli kabisa 😂😂😂
2026-04-22 06:35:31
6
happycute_tz5
happycute tz :
sipendi kuchat kuongea na simu na naunga sms na dakika za mwezi na wakizikata naumia hatari 😂😁😁
2026-04-20 09:43:35
16
happy.mramba
Happy Mramba :
hatujipendekezi kumpigia mama inatosha🙌🙌
2026-03-28 11:04:38
18
user4225231099358
PILY❤ :
jamani we mbn wanisema sasa shida nini lakini
2026-03-27 12:41:27
8
kasbante
kasibantee :
sasa mtu hakutaft wanini na mimi natulia
2026-03-28 14:41:59
5
fatmaramso3
fatmaramso :
na ukituma sms atujibu😆😆
2026-05-12 07:14:51
6
petrolinajohn356
linah j :
yaan mi mpk sahv sijawasiliana na mtu yeyote🤣🤣🤣
2026-03-27 12:43:26
7
letyzachary
lety :
mim nimmoja tu
2026-06-16 12:48:52
4
sarahsaleh7925
Sarah Saleh :
uyoo ni mim huyooo hujakosea,siyo shida zetu
2026-05-18 09:41:36
1
user4133612088040
Basamu :
me kwa siku n mmoja au hamna kabsa
2026-06-13 20:52:59
2
user5619498061213
user5619498061213 :
mwenyewe najikuta tu ivo
2026-06-11 09:57:55
1
marcykananda105
✌️official💓 marcy💓💝 :
brother tupumzishe inatosha🙏
2026-06-17 05:31:25
2
justin.mwacha
Justin Mwacha :
alafu we jamaa umetufuatilia saana
2026-06-06 23:25:39
2
To see more videos from user @braza_wa_tiktok, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About