@hermargs_institute: Katika juhudi za kuhamasisha bidii na ufaulu kwa wanafunzi, tumeshiriki katika hafla maalum ya kuwapongeza wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kihonda waliopata matokeo mazuri. Tumewatunuku zawadi mbalimbali kama ishara ya kuthamini juhudi zao na kuwapa motisha ya kuendelea kufanya vizuri zaidi. Karibu sana kujiunga na chuo chetu kwa safari ya mafanikio! 🎓

HERMARGS INSTITUTE
HERMARGS INSTITUTE
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 March 2026 14:39:07 GMT
4217
125
5
7

Music

Download

Comments

juma.alola
Juma Alola :
nice moment
2026-05-20 19:50:03
1
princess.jannely4
Princess Jannely💕 :
My school i love it
2026-07-06 12:24:22
1
batwibsons
batwibsons :
🥰🥰🥰
2026-04-09 21:41:47
1
To see more videos from user @hermargs_institute, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About