Subhana Allah, Allah tushikanishe na ibada ya Swallah wanawake na Utujaalie lile lenye kher nasi😭
2026-04-01 08:56:41
1
HAJI KOMBO :
Ya Allah tujaalie mwisho mwemah sisi na vizaz vyetu na wake zetu
2026-04-03 13:38:02
1
Sabihi :
jazakkalahu kher
2026-05-14 21:45:50
0
Ahmad Abdalla :
subhannallah allah atuepushe kua tariiki swalaa
2026-04-05 04:19:44
0
Abuu Ahlam :
TWAMUOMBA ALLAH SALAMA NA AFYA
2026-03-29 11:46:39
2
Abuu Ridhwan :
swadakta
2026-05-24 09:00:39
1
Man Rogger Msizwa :
Hii ni dini tunahitaji dalili kutoka kwenye qur ani au hadith
2026-04-01 12:25:07
1
Ibnu Salim :
HATUPINGI ILA TUNA OMBA DALILI MAANA KIELIMU MANENO YA IBNU TAIMIA / MSIMAMO WAKE ,SIO DALILI KATIKA DIN . SHUKRAN
2026-03-31 13:25:12
2
ZANZIBAR@Gaza :
jingaaa hiliii
2026-03-28 20:21:16
2
Issa wa tisa :
yupo sawa kwa uerewa wake
2026-03-31 19:13:28
2
MUFIID :
Wallahi mie Niko Radhi niowe asie swali kuliko mzinifu au mwizi au mlevi weeee kwa mungu ni dhambi kubwa sana yaaani nikae nae ndani analewa Kweli au anazini njee au mwizi Wallahi hatokei mwanamme yoyote atakae kubali kuowa mkee mwenye tabia hizo hatokei Hadi kiama tuko Radhi wanaume SOOTE tutaowa wasie swali twajuwa tu ataswali kuliko mzinifu au mwizi weeeee ata uyo sheikh anasema tu lkn nae Yuko Radhi aowe asie swali weeee
2026-10-31 07:16:44
0
Salmin_jr :
🤔🤔🤔
2026-03-30 18:02:11
1
Prosper :
Assalamu alaykum warahmatullah akhy naomba full yake
2026-03-28 11:12:23
3
Duo@377 :
radiiiii
2026-03-28 23:55:27
2
Abuu Hibatullaah :
hii ni hatari sana kutoswali jamani
2026-03-30 08:30:34
2
King of the Jungle :
Kwa hivyo ukitaka kwenda kuposa umuulize kama unaswali au la???
2026-03-30 20:32:02
1
EL AbdouL :
Subhana allah 🥺 tumeisha 🥺
2026-04-02 08:36:34
1
MADINI MTAAZAMO HURU :
subhannallah
2026-04-01 15:25:12
1
abuu junada💬 :
🥰🥰🥰
2026-03-28 05:40:35
1
kibibi said :
Amin lnshallah
2026-03-30 07:45:21
1
RUFIJI ISLAMC CENTER🇹🇿🇦🇪 :
🔥🔥🔥
2026-03-29 20:11:30
1
Abuu aymani Hijrah :
mh nikhatar
2026-03-29 08:13:31
1
إسماعيل بن غدفرى :
kabisa kabisa
2026-03-29 08:03:53
1
mustwafa abuubakar :
hapo wasioswali angalia comenti zao
2026-03-29 06:57:23
1
Biaisha :
subhanallah katikaimani ndugu zangu nawahusiwa na kuhusia nafsi yangu kufanya ibada ni lazima
2026-03-29 02:16:01
1
Gournha Fahmawi :
hili jitu ongo kweli
2026-04-02 03:46:25
0
To see more videos from user @chamoto636, please go to the Tikwm
homepage.