@melosakp: mtoto anajua kuomba msamaha uyu ila kuna mijitu mizima sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Melosa Kp❤️
Melosa Kp❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 March 2026 20:26:42 GMT
378874
14848
255
1864

Music

Download

Comments

rethisiajudith
Rethisia Judith :
Jamani katoto kana heshima Mungu Akatunze♥️♥️♥️♥️♥️
2026-03-30 19:05:32
433
joyce.mgeni1
joyce :
mungu abariki tumbo la mama wa huyu mtoto🥰🥰🥰
2026-04-02 10:20:03
266
makungumabula
Makungu01 :
Pongez ziende kwake kijana wetu yupo vizuri sana
2026-03-30 13:07:00
156
fhjj766
fhjj76 :
hii si sauti ya mwandambo au
2026-03-30 12:17:34
155
mwajuma1994
Mwajuma :
huyu ni mkwe wangu wa badae anaheshima sana
2026-03-31 07:11:05
55
nadhirana245
Nadhira Na :
mashaallah anajua kuomba razi jaman
2026-03-28 06:10:59
84
user3053960566907
GT :
kanamzidi mumecwangu kuomba msamaha😅
2026-05-22 15:09:28
5
momrena17
mom rena :
Nimependa alivyo omba msamaha, kweli asamehewe.
2026-03-30 13:25:01
64
ikaalex40
Ika Alex :
Mungu azidi kukupa hekima🥰🥰
2026-04-30 18:36:17
30
user66632683593810
Dee dugange :
naomba asamehewe
2026-04-05 21:20:17
5
user1983487547323
user1983487547323 :
mtoto huyu anaonesha ana hofu ya mungu abarikiwe sana
2026-03-30 18:56:03
36
user7770180581882
Laurent :
mm naomba tu unisamehe 😂😅😅
2026-04-08 05:34:34
9
user53857071053278
user53857071053278 :
mtoto alive funzwa na wazazi vizuri 🥰🥰🥰
2026-03-31 09:29:56
17
nanahmaundika
nanahmaundika :
Nimempenda issaka
2026-05-01 12:06:12
7
dbn6328
DBN💫💫💫😍 :
hapa ukiwa na hasira zinakataaa🥰🥰🥰🥰
2026-05-19 17:39:50
6
user6512354312076
mpendwa katika Bwana :
Mungu awatunze walimu mnaowachukulia watoto wetu kama wenu🙏
2026-05-01 20:05:41
6
sifanie2
Sipher :
Go babyboy una heshima sana
2026-05-02 15:08:13
7
ackramsanga
ACRASA FASHION STORE 👖🧢 :
Kama kuna Sanga mwingne like me shusha❤️❤️
2026-04-29 03:05:41
14
top45natch3
sweet pea :
nimemtwanga nakipeke usoni 😃😃ilanaomba unisamehe mashallah 💕
2026-04-01 15:09:04
30
misskim640
Itc 70700 :
venye amesema nikaambiwa nije kwa mwl nikajijiaga tu khaaa 🥰mungu nibariki kama huyu🙏🙏🙏🙏
2026-04-02 12:20:39
27
alltime_makeupsaloon
alltime_stylesaloon :
Hii video nmeitafuta sana😂
2026-04-02 20:50:49
8
mobbyness
mamylooh❤️❣️ :
ringtone ya simu imeniudhi
2026-03-30 20:02:14
19
hesa_urembo_point
Hesa skin care :
Sanga mwenzangu🥰🥰🥰 wakinga oyeee
2026-05-03 04:07:25
5
anethpius174
introvert1740@ :
daaa mpk raha mungu amtunzee uyu mtoto naomb radhi🥰🥰🥰
2026-04-02 11:04:03
11
user972396225292
katesh :
VERY NICE BOY...ANAJIELEWA HUYU..MAASHAA ALLAH...NA HUYO MWALIMU NAYE NI MUELEWA...NICE
2026-04-27 04:37:57
6
To see more videos from user @melosakp, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About