@madam_leila: Kuwa mwanamke ambaye mwanaume mwenye akili timamu atatamani kuwa naye kwa ajili ya kesho yake. Jenga uwezo wako, tunza utu wako, na uwe na maono. "Mwanaume aliyetimamu akitaka kuoa huchagua Mwanamke wa Kesho." Video Kamili inapatikana kwenye Youtube Channel yetu (Madam Leila Abubakar) link kwenye bio ๐Ÿ‘†๐Ÿพ #SmartLadies #FutureQueen #selfgrowth

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 March 2026 05:42:45 GMT
270631
20723
104
1055

Music

Download

Comments

sprovjvrjd4
Rad :
mmi mkenya hii hapa siku ya pili kutafta marafiki kutoka Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. send hi nikufollow
2026-05-05 12:33:22
2
bbydrama0
Isha mรฑgโค๏ธ :
very true da leila ๐Ÿ‘Œ
2026-03-28 06:15:07
4
hidayahamidu
user262623772427 :
mashaallah nafuatilia sana maoni yako allah akulipe heri madam
2026-03-28 11:28:06
13
derismmusic
Itsderism :
yaan kama ulikuwa akilini mwangu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-03-29 19:23:35
7
abdalla.amour0
Abdalla Amour :
Ni sahihi kabisa madam Leila
2026-03-28 11:29:54
5
rozzyinnocent
Rozzy Innocent :
sawa kabisa
2026-05-20 16:47:20
1
rashidijuma.juma
King_fahdi@Enterprisess :
Masha'allah, always i respect y're words..
2026-03-30 20:17:18
3
tariq0203
Tariq :
Madam,Hakika wewe ni Tunu ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ™
2026-03-28 15:54:53
3
othuman.omari
mogravich Simeon ๐Ÿช–๐Ÿช“ :
very true sister
2026-03-28 05:51:31
5
mamothman0
mamothman :
Madam upewe maua yako nakupenda sana dada
2026-03-29 12:41:23
2
taliinziani
Tali Inziani :
True ๐Ÿฅฐ
2026-04-03 04:59:29
1
kataike.adam
kataike Adam :
very true ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-03-28 06:19:10
3
stara.abdul.samad
stara Abdul samad :
shukran sana Mungu akuzidishie Imani akuhifadhi .
2026-03-29 02:01:53
2
drwaziri_uzazi
Uzazi | Kupata Mimba |Hormone :
Jazakallah kheri
2026-04-03 09:33:42
1
officialmax79
Mr enjoy ment ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‰ :
kama bimkuwa yuko swah gonga like
2026-05-11 13:25:33
1
user1761950182453
user1761950182453 :
swadakta ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-03-30 17:24:08
1
muftiobina55
swaheebal quran :
santa sana mama
2026-04-29 14:44:47
1
nuriath33
Nuriath :
Mashallah
2026-04-03 18:26:24
1
leiqah
leiqah :
Nimekuwa wa kwanza kucomment kwenye video yako madamโค๏ธ
2026-03-28 05:49:28
32
twiga272
Twiga๐Ÿฆ’ :
Madam leila Asalam alykum karibu mniungishe nauza viungo bira vzr sana vya chai pilau chicken masala fish masala viungo vya mchuz na cooking paste zote
2026-03-28 16:01:45
8
rumaysah0811
rumaysah sady :
mung akulinde madam
2026-03-28 05:49:52
5
mohammed.al.omary
Mohammed Al omary :
Masha Allah.maneno mazuri ya Dhahabu. mwanamke mwenye dini ni muhimu.
2026-03-28 08:04:35
5
mjidukahindi
HII NDO DUNIA YETU :
very true
2026-03-31 06:39:52
1
user9997451540851
unlucky :
kweli dada
2026-03-30 16:39:36
1
idahbabie01
idahbabie01 :
absolutely
2026-03-28 07:58:21
2
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About