@vivahomeskenya: WORK IN PROGRESS Ujenzi wa fence bora ni hatua ya kwanza ya kulinda mali yako na kuongeza thamani ya eneo lako. Tunazingatia ubora wa materials, usahihi wa vipimo na finishing ya kisasa ili kuhakikisha fence yako inakuwa imara salama na yenye mvuto wa kipekee. Kama unahitaji fence ya kisasa yenye uimara wa muda mrefu, timu yetu ipo tayari kukuhudumia kwa viwango vya kitaalamu kuanzia ushauri design hadi utekelezaji kamili wa kazi. 📞0735 659184/0705579765 📧[email protected] 🌐www.vivahomes.co.ke