@mbtvkenya: Sio ajabu mtu kuacha uovu… ajabu ni mtu kuanza mazuri kisha akachoka nayo baada ya Ramadhan 🤍 Sio ajabu mtu kuacha uovu na kuanza kufanya mazuri… Lakini ajabu ni mtu kuanza mazuri halafu akachoka nayo baada ya Ramadhan. Ramadhan haikuwa mwisho wa ibada ilikuwa mwanzo wa mabadiliko. Kama uliswali, soma Qur’an, ukawa na subira… basi hiyo ndiyo njia yako ya maisha, sio ya mwezi mmoja tu. Allah anasema: ﴿فَاسْتَقِمْ كَمَا أُمِرْتَ﴾ "Basi simama imara kama ulivyoamrishwa." (Qur’an 11:112) Na tena: ﴿إِنَّ الَّذِينَ قَالُوا رَبُّنَا اللَّهُ ثُمَّ اسْتَقَامُوا...﴾ "Hakika wale waliosema Mola wetu ni Allah kisha wakasimama imara…" (Qur’an 41:30) Usichoke kufanya mema… Kwa sababu Allah hachoki kukupa thawabu 🤲🏽✨ #Istiqamah #BaadaYaRamadhan #Usichoke #Taqwa #IslamicReminder #mbtvkenya

Sh. Muhamad bahero TV
Sh. Muhamad bahero TV
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 28 March 2026 06:32:48 GMT
13772
2363
39
77

Music

Download

Comments

majumahmkomwa
majumahmkomwa :
Amin 🤲🤲🤲
2026-03-28 22:05:57
0
user8499905279556
NEEMA Q :
mashalla
2026-03-29 08:07:49
0
alhamdulillah.alhamduli7
Safia :
Alhamdulillah
2026-03-30 08:53:20
0
bintybasheikh.abd
Bintybasheikh Abdalla :
subhanallah swadakta
2026-03-29 12:21:58
0
itznash00
itzme :
ALLAHU AKBAR 🥹
2026-03-28 06:57:54
2
user3217637305307
leyla 💪💪 :
allhamudullillah
2026-03-29 18:21:54
0
swalnati338gmail
[email protected] :
Alhamdulilah Rabil Alamin🥰🥰
2026-03-29 07:58:57
0
halima.mohamed876
Halima Mohamed :
alhamdhulillah
2026-03-29 19:02:25
0
swalmun_swat
Kantima Mohamed :
imdul
2026-03-29 18:28:13
0
hajjiibrahim29
hajji ibrahim :
allhadullilah ya allha 🙏🙏
2026-03-28 21:22:13
0
salmatt80
samaha40 :
Alhamdulillah.Yaa Allah tujaalie mwisho mwema
2026-03-28 10:59:38
0
hajjigiihaji
Feyruwz :
Yaa Allah tuongoze na uongoze vijana wetu😭
2026-03-28 19:42:29
0
user9985667448912
ma tatu :
alhamdulillah
2026-03-28 10:41:51
0
mudhihili.hassani
Mudhihili Hassani :
alhamidulilal
2026-03-28 19:25:03
0
zeyana9695
Zeyana :
amini
2026-03-28 11:00:38
0
zawadi.muba
Zawadi Muba :
Allah😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
2026-03-28 20:17:55
0
diana.dee425
Diana Dee🥰🥰 :
allahadhulila
2026-03-28 13:06:07
0
warda.hashim1
warda hashim :
alhamdullilah
2026-03-28 07:33:37
0
mariamdimwai
Mariam Dimwai :
SUBHANA ALLAH ALLAH HU AKBAR ALHAMDULILLAH
2026-03-28 09:13:41
0
queen._.bably
.queen_.bably💞 :
kweli allhamdulilah allhamdulilah allhamdulilah
2026-04-12 07:15:09
0
anlisufo_17
صدقلamin :
Allahu akbar
2026-03-28 11:12:46
0
bash.koko
BASH KOKO :
Allahu Akbar❤️❤️❤️
2026-03-28 13:33:56
0
shafrinakaif
shafrinakaif :
Allah Akbar
2026-03-28 12:10:23
0
neemamsingwa145
msigwaneema :
allah akbar
2026-03-29 06:03:47
0
doty649
user5781772424888 :
♥️♥️♥️🤲🤲🤲🥰🥰🥰
2026-03-28 07:41:36
0
To see more videos from user @mbtvkenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About