@muuh_furniture: Sofa ya watu wawili 🛋️ Imetengenezwa kwa fiber na spring kwa uimara na comfort ya hali ya juu ✅ Muonekano wake ni wa kisasa na unafanya sebule yako ionekane nadhifu na ya kuvutia Inapatikana kwa rangi tofauti kulingana na chaguo lako 🎨 Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini au sehemu yoyote unayotaka kuongeza mvuto 📦 Tunafanya delivery Dar es Salaam na maeneo ya karibu 📍 Tunapatikana Mabibo na Kigamboni 📞 Wasiliana nasi: 0795325436 0624568009 Bei: 270K tu #SofaSet #FurnitureDSM #muuhfurniture #DarEsSalaam #HomeDecorTZ