Asalam alykum, Je mtu mwenye kujichua baada ya kujiridhisha anapaswa kukoga JANABA ima anakoga kawaida?! ahsante ujibu ukinitag inshaallah
2026-03-28 12:36:54
7
UKTHY WA KILIFI :
huyu n mwalimu bhana nimejifunza vitu vingi kwakwe ,ALLAHAMDULILLAH WALLAH
2026-06-01 12:21:30
5
HamzaPapa :
ALHAMDULILLAH na Salah ambayo imam anaswalisha Kwa sauti Maamuma Al fatiha anatakiwa kuisoma wkt gani sambamba na imam ama imam akiimaliza Al fatiha
2026-03-28 20:44:30
7
xoudmaestro :
Asalam alykum. je ikiwa nimechelewa kuingia msikitini. nimekuta watu wameshaswali jamaa. nikakuta mtu anaswali ila Mimi sijuwi kama swala anayoswali ni faradhi au sunna. na nikataka aniongoze ila Mimi nikanuwia kuswali faradhi baada yakumaliza nikajua yule aliekua ananiongoza alikua anaswali sunna. je swala yangu itakua kundi Gani kat sunna au faradhi.?
2026-03-30 10:47:47
1
Rebootly™ :
Assalamu alaikum ustadh wangu.
Swali langu: Je, nikisahau kusoma Alfatiha katika Moja ya rakaa?
Naleta sijdatul sahaw, au naswali tena?
2026-04-02 20:03:49
0
naila :
asalam aleikum warahmàtullah wabarakatuh unawez uko unasoma surah ingine Badoo hujamaliza imma na ruku help🙏
2026-04-07 04:17:02
2
mchaنgama :
salaam aleikum, na vipi katika swala ya sunnah baada ya fatiha lazima sura nyingine?
2026-05-19 14:44:37
0
neemasenya :
sheikh tafadhali naomba unijibu...
je baada ya imam akishasoma fatiha na maamuma nao wanatakiwa kuirudia Tena? wkt Imam akiwa anasoma sura nyingine?
2026-03-31 17:31:42
1
Popo bby :
shukran nazd kuelimika zaid kwakukufollow
2026-03-29 21:05:57
0
Zazy :
Salam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh,Ustadh ni na swali kuhusu salat za Sunna,Je inaswih kusoma nyingine surat baada ya kusoma surat Al-Fatiha?
2026-04-05 19:21:31
0
rehema :
asalam ghalalayku
swali langu ni
nin maana ya ariganu
na dari nadwa
2026-03-31 12:21:00
1
Sulesh,,,,,? :
shukrana kwa mafunzo
2026-03-30 08:20:37
2
nadmour :
Shukran sana😭
2026-04-24 14:22:09
1
Iddi M Lila :
mpka kuku anakupenda mashaala
2026-03-30 04:16:23
3
Zaisai♥️ :
Ishallah 🥰🥰🥰🥰
2026-03-30 11:44:40
1
Ashanti :
shukran kwa darsa
2026-03-31 10:09:08
1
munezero :
shukran
2026-04-03 18:40:10
1
Abdallah Saphania :
Nice one
2026-03-28 13:03:36
3
my tiy :
Asnt San
2026-03-31 17:58:16
1
khairath ❤️ :
brother naomb huy kuku 🥰🥰🙏
2026-03-30 17:38:19
1
Tasha Tasha :
Asante sana
2026-03-29 13:47:54
1
Amina nyama :
shukran sana 🥰
2026-03-29 18:46:12
1
aly~ahyaa🌹 :
mashallah
2026-03-30 17:01:47
1
BEST VIEWS 🍀 :
Mim niwakwanza leo sheikh nilitaka unambie kwanin nachukua mda san kutoka surah moja mwenda nyingine naomba unipe tips zaku soma insha allah kwasababu kutoka kwenye mursalat ina kua kaziii
2026-03-28 12:11:19
4
WAMANTA5🦺🦺 :
ماشاءالله❤️❤️
2026-03-28 20:24:50
1
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm
homepage.