@edson.mabele: @papamafidotz: "Wanawake hawana Shukrani" (NB: Haya ni maoni binafsi ya @papamafidotz hayaakisi kipindi cha BATANI au CROWN TV) BATANI inaruka kila ljumaa saa 12:00 jioni ndani ya CROWN TV CH 415 kupitia Kisimbuzi cha AZAM (Dish), YouTube tunatumia Crown Media na marudio ni jumamosi saa 7 kamili mchana. #CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Edson Maziwa
Region: TZ
Saturday 28 March 2026 20:04:09 GMT
Music
Download
Comments
mzaramo og kimanze chana :
Mimi ni mwanamk ila huwo ndo ukwer hatuna shukrani hata hao wanaosema sio kwer bd kuna maisha bd
2026-03-30 10:50:34
168
TOP@ MR G :
mimi yalishanikuta mpaka sasa Sina huruma na mwanamke
2026-03-31 03:33:16
67
kamiloy :
sio wote jmn
2026-03-29 12:17:31
29
Jep Tonnie :
N kweli sis hatunaga shukran km hatujakupenda 😏
2026-03-31 09:48:50
28
Hellah :
siku zote niko upande wako broo coz always we say fact
2026-03-29 17:43:00
65
Mwasham Said :
hata nyie hamna shukuran niulizen kwann😭😭😭😭mpk Leo nawachkia sana
2026-03-30 15:17:09
12
Ethan James :
Wanawake ni viumbe hatari sana
2026-03-29 19:33:03
49
@SirGeorge.Massae :
Huyu wangu kiukweli Sijapata kuona kama yy Ahsante Mungu kwa zawadi ya mke huyu Bora 🙏🙏
2026-03-30 22:31:04
5
Day :
hawana shukran halafu ni wepesi kusahau fadhira.
2026-03-31 14:03:18
5
user9930669249734, :
wasenge San wanawake hata umped nn hawakumbuki shukran sio
2026-03-30 17:21:24
18
𝕄𝕆ℙ𝔸𝕆 :
ukitaka mwanamke awe na shukran kula hii 👌
2026-03-31 20:37:57
7
Daniel Michael :
ajakosea yupo sawa kabisa
2026-03-29 19:52:20
14
Golden Eagle ~🦅 :
sio wote, kuna wanawake wanashukrani sana yani sema ni wachache sana.
2026-03-30 10:42:57
6
Kapele Mzee :
kweli ni wote tabia ni moja tu
2026-03-29 18:27:00
11
Mohamed Matola :
ushaambiwa wanawake zingatia neno mwanamke sawa
2026-03-30 07:18:13
7
Ommy :
me nakuung mkono broo madem hawan shukuran
2026-03-29 17:05:25
33
mark nguma :
nikweli mkuu tena akigundua hauna kitu
2026-03-30 03:45:59
13
Suma Mrusi :
iyo nikweli ujueee hawana shukrani kweli ujueee
2026-03-30 07:20:27
6
Slim :
na hawakumbuki kitu😀
2026-03-29 23:08:28
5
mamba mwamba sterling :
kqbisa kka
2026-03-29 13:46:54
6
user1569445194783 :
kama mimi uwiiii 😂
2026-06-05 18:29:48
1
Williamu Abinegojr :
kabisa
2026-05-28 20:21:40
1
RO-NNA :
Sema WA kwako mimi nitoe
2026-06-03 18:17:09
0
GOOD BOY TZ :
Ni bero kwa Wanawake wote
2026-05-25 18:32:55
2
huruma zero :
kweli kabsa is fact
2026-05-10 08:06:35
2
To see more videos from user @edson.mabele, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.