@king.of.layza:

King of layza
King of layza
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 March 2026 20:08:37 GMT
30986
1317
100
154

Music

Download

Comments

muhammadhussein1310
King of the Jungle :
Hili mawahabi hawakujibu mpk kiama
2026-03-29 09:54:25
18
almisbahshariffkhalifa
Al Misbah Shariff Khalifa. :
Shukran ustadh 👍sheikh Mziwanda
2026-03-30 06:26:10
4
salimawale
Salim Awale :
Hawata kujibu ajibu kidume
2026-03-29 14:12:32
2
user3991262962725
user3991262962725 :
swalluh kama swalaytumunii uswalii
2026-04-17 14:09:48
1
mussa.kibwetele
mussa Kibwetele :
nakukubari sana shee wangu ahahah ina uwa kwa harufu ahaha shaallha
2026-04-02 08:43:37
3
muna.bhai573
Muna Bhai :
Mola Akupe Umri Na Afya Ahh Watoa Elimu Watoa Darsa Kamili Uislamu Sio Mambo Ya Mkato Mkato Allah Barikly Fiiy
2026-03-30 05:31:48
3
jaffarmuhandas
Muhandas :
غير مشروع
2026-03-31 12:00:57
2
yusuph_used_items
Uza_nunua_used_items :
Sasa swala yako umeiga kutoka kwa nani
2026-03-30 19:27:46
1
noblemsafi
noblekhan :
Mie ndio maana nakukubali sana mwalimu mziwanda
2026-04-02 04:10:05
3
macopa4real
Papa Lolo :
Hoja dhaifu eleza vzur
2026-03-30 04:53:16
5
user1573595516981
أبو إدريس السلفي :
معنى غير مشروع ؟؟؟
2026-03-31 19:10:40
2
nassir.makame
Nassir Makame :
Barakallahu fiik
2026-03-31 10:29:23
1
samoju123
Mwihindiwetu :
Asante shekh
2026-03-31 03:28:19
1
fdykhslmkpn
fdykhslmkpn :
Dah😳 Hatari
2026-03-29 11:54:24
3
shauqydemiro
shauqy de miro :
mash allah
2026-04-01 20:40:23
3
siraji.mkonga
Siraji Mkonga :
Mwamba huyoo
2026-04-01 09:35:42
0
habibu.khalfani2
habibu khalfani :
mashaallah
2026-03-30 19:25:45
1
user3991262962725
user3991262962725 :
simafunzo ya Mtume muhammadi swalallahu 3alayhii wasallam
2026-04-17 14:08:55
0
user8938994368379
user8938994368379Alhaj Rashid :
Tunao coment,tuheshimu wanazuoni wetu.
2026-03-29 14:08:05
9
1976ahmed6
mud :
huyu sheikh anapenda ushindani Allah atuongoze
2026-04-20 06:27:11
0
user3061360976147
saras :
📖 Dalili 1️⃣ Mtume ﷺ hakuwa akiendelea nayo kila siku Imepokewa kuwa: Mtume ﷺ alifanya Qunūt kwa muda (wakati wa matatizo), kisha akaiacha. 👉 Hii inaonyesha Qunūt ya Alfajiri haikuwa ya kudumu, bali ilikuwa kwa sababu maalum (Qunūt an-Nāzilah – wakati wa balaa). 2️⃣ Hadith ya Sa‘d bin Tariq kutoka kwa baba yake Alisema: “Nilimuuliza baba yangu: Je, Mtume ﷺ alikuwa akisoma Qunūt katika Alfajiri?” Akasema: “Hapana mwanangu, hiyo ni bidaa.” 📚 (Imepokewa na Tirmidhi na wengine) 🌿 Hitimisho ❌ Qunūt ya Alfajiri sio lazima ❌ Si Sunnah ya kudumu ✅ Inaruhusiwa tu wakati wa matatizo makubwa ya Waislamu (Qunūt an-Nāzilah) 💡 Ushauri 👉 Ukiswali nyuma ya Imamu anayesoma Qunūt: Mfuate, sema “Aamiin” Usivunje umoja wa Swala haya ndio mafundisho ya mtume sasa nyie munao qunnut kila swala ya alfajir mumetoa wap andiko
2026-03-30 16:21:29
4
user38445986354585
أبوا ورد :
mshangazi kaza sauti
2026-04-10 11:49:18
0
hajigonii
Abdullgani :
mtume s.a.w aleienda Hajj mara moja sasa wenye kurudiarudia Hajj itakuwa bid'aa pia? kuqunutu kwenye swala ya fajr ni sawa na ni sunnah Allah s.w anajua zaidi
2026-03-29 20:47:17
4
user9196233861418
Mwandiani mohammed :
usife Leo jomba wape maneno.
2026-03-30 20:37:46
0
juma51685
juma :
shekhe mshangazi
2026-04-02 15:28:25
1
To see more videos from user @king.of.layza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About