@zellahuzazitips: Unasumbuliwa na matatizo ya meno? 🦷 Kuoza kwa meno Maumivu ya meno Ufizi kuvimba Meno kuwa na doa Meno kulegea Usipuuze dalili! Afya ya kinywa ni muhimu kwa maisha yako ya kila siku. Wasiliana nami kwa ushauri na matibabu #afyayangu #hudumabora #madamzellah #tabasamulenyeafya #dentalcare
Madam Zellah
Region: TZ
Sunday 29 March 2026 06:28:24 GMT
Music
Download
Comments
Lee cute😘😘 :
ufizi umevimba itunga usahaa jamn
2026-07-05 20:43:07
2
Mweshygydy22❤️🫶 :
Meno yakisongea na kuacha mwanya na pia kulegea mnasaidia vip
2026-07-16 22:26:07
1
Martina :
Mnapatikana wapi?
2026-03-31 09:53:22
1
shishi :
suluhisho ni nin
2026-03-31 20:52:42
1
venny :
nisaidie plz
2026-04-03 13:14:50
1
my wangu oo1 :
mbna la juu langoka pia😂 hii ndio hali yangu naumwa hatar sai
2026-06-20 05:44:48
1
Osca Lyimo :
ganzi je
2026-04-03 20:26:30
1
Mary hassan :
sululidho ni nn
2026-04-01 19:33:39
1
user young saddy 2026 :
4 nisaidie
2026-03-31 17:13:31
1
Lilian_collection♓️ :
Jmn mm ufizi umevimba napata shida kutafuna
2026-07-30 21:49:38
0
KHALIFA JUMANNE :
amna branch arusha
2026-03-31 20:23:00
1
Sarah Japhet17 :
kivipi
2026-03-29 08:41:54
1
hildamrema339 :
arush hampatkn
2026-04-03 17:21:30
0
marier44 :
meno yenye ganzi je
2026-03-30 10:44:37
1
Elizabeth Mndeme :
mko wapi
2026-03-29 12:04:57
2
kemilembe :
Mko wapi??
2026-03-29 08:32:38
1
busela :
naomba matibabu pls
2026-04-03 08:39:23
1
official hawajumakalekeza@gmai :
mim nimeng'oa sana
2026-04-04 10:13:02
2
FIN AGOST :
kuweka reli sh ngap?
2026-08-07 12:00:35
0
hecker🙏🙏 :
unapatokana wapi
2026-04-03 12:28:57
2
mrs rabii :
nafikaje nipo goba
2026-04-02 14:41:14
0
Ashley core :
tuna ogopa galama
2026-04-02 18:46:00
1
user5309673281362 :
mnapatikana wap
2026-04-03 12:02:24
0
KHALIFA JUMANNE :
mnapatikana wap
2026-03-31 07:35:58
1
Abu Khilafah Rashidah. :
Meno kulegea suluhisho lake inawezekana bila kung'oa?
2026-04-02 04:03:48
2
To see more videos from user @zellahuzazitips, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.