@mohamedhafidh_tz: Watu wengi wanachanganya IT na ICT kama ni kitu kimoja… Lakini ukweli ni kwamba si sawa. Katika video hii, nimeelezea kwa lugha rahisi sana tofauti kati ya: 👉 Information Technology (IT) 👉 Information and Communication Technology (ICT) Utajifunza: IT ni nini hasa ICT ni nini na inahusisha nini Tofauti kuu kati ya IT na ICT Mfano halisi wa maisha ili uelewe kwa urahisi Jinsi ya kuchagua direction ya career (IT vs ICT) Kwa kifupi: 👉 IT = kushughulikia taarifa ndani ya system 👉 ICT = kushughulikia taarifa + mawasiliano 🔥 Hii ni video muhimu sana kwa wanafunzi na beginners wote wa tech. Follow me kwa maudhui zaidi ya Tech kwa lugha rahisi. 👇 Comment: Je, kabla ya video hii ulikuwa unachanganyikiwa? . . . #swahilitiktok #teknolojia #kenyan #zanzibar #foryou Full Video on YouTube ( Mohamed Hafidh Tz )

Mohamed Hafidh
Mohamed Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 March 2026 06:31:56 GMT
42037
1570
60
74

Music

Download

Comments

dumalukhy
Default :
in short ICT ni IT iliyo balehe 😁
2026-03-29 14:00:58
10
msemajiwamagari
Msemaji wa magari :
mbn serikalini wote wanaitwa ICT kwanini hakuna kitengo cha IT hasa halmashauri
2026-05-13 12:58:18
2
d.eadaah.___
khadeeja😍 :
Telecommunications vs computer engineering and Ict tuchambulie ioo🤒
2026-04-01 19:23:11
3
elammussa
elamspy :
nitag what about computer science and computer engineering
2026-03-30 06:20:53
3
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Wa Computer science anakuwa nani hapo?
2026-03-29 15:01:49
3
rosehayatta677
rosehayatta677 :
na Word processing, publisher, photoshop hii iko wapi
2026-04-11 17:56:53
2
best_visuals
best_visuals :
Watu wa Graphics wanaingia wapi hapo?
2026-04-06 20:50:13
2
z_u_c00
Clinton :
kwani wapi wanasoma C+ na Wapi Hawasomi C
2026-04-12 22:21:52
2
simply_kilu
#kilu_official :
vp kuhusu telecommunication engineering yenyewe ikoje
2026-03-30 13:07:54
4
codetz485
Code Tz :
Huyu jamaa kaanza kama utani saivi ana subscribers wengi YouTube
2026-05-02 11:15:15
2
muganda_845
#DMS :
Tofauti ni C
2026-03-29 13:46:00
3
djbizzo255from.masstown
DJ BIZZO DROPPER :
Graphics in multmedia and digital marketing
2026-06-09 16:41:24
1
athmanziwa1
_üthmāñbəį_1 :
Acha nikufollow juu nafanya Hio Course Mimi Tayari😂
2026-03-29 16:26:30
3
najrasale043
Najrasale :
BIT and IT iyo ipoje
2026-03-29 19:53:01
2
feilasuf
F E I S A L Y :
bravo
2026-03-29 17:00:12
2
eliajluva
Luvanda👊👊 :
ICT ndio win
2026-08-24 12:33:41
1
user2323274217120
Benedict Tzone :
Tofauti ya IT na computer science ni ipii
2026-05-22 22:21:55
1
chiamba78
MAKAYABOO🇨🇩 :
good
2026-03-29 20:47:35
1
baraka.emmanuel72
BLESS :
uyu jamaa angekuw recture ningesomea hayo mambo kaelez short but ni very clear
2026-03-30 02:50:37
4
abdul.kh07
Abdul Kh :
wasomi tu apo nd wataelewa kirahisi
2026-03-29 18:06:02
2
six62001
six@6 :
Vip kuhus DDT
2026-03-29 21:53:35
1
anselimo325
🔥joshua tech💫 :
uhakika kaka coz hot sana hzo pamoja na cyber security
2026-03-29 08:08:53
1
six62001
six@6 :
Vip kuhud DDT
2026-03-29 21:53:20
1
nation_boy4
nation_store :
vipi kuhusu cs?
2026-06-27 21:19:08
0
sam108513
Sam :
una2mia muda mlefu kuelezea k2 kidogo kuwa mbunifu brother usifanye km wengne wanavyofanya
2026-05-02 12:33:37
1
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About