mbona wapo wasiosalim amri ya allah na bado mambo yao yaenda Vyema, 😳
Na tupo tuliosalim na mambo bado hayaende vema? 😁
2026-03-30 04:59:12
112
جابر صابر :
Bro napenda post zako bila sababu🤗
2026-03-29 16:40:36
101
Galby Habibthy🫦 :
am a Christian lkn nmejifunza jambo🥰
2026-05-02 07:51:56
14
monsieur alif :
sura na aya please... nataka niisome. 🥺
2026-03-31 06:56:31
16
RIZLA MBAJUNI O.G :
TUNAFAA TUISOME SANA DINI ..MIMI NIMEJIFUNZA JAMBO LEO SHUKRAAN KAKA🥰
2026-03-29 17:32:25
24
it'smimah🦋🦋 :
wallah allah akupe kila hitaji la moyo wako wakat wew unatumia tik tok kuerimisha wengine wanatumia kufanya vitu vya ajabu ili wawe content cretor Allah akujaze kher kaka ang amiin
2026-04-21 06:35:39
18
mudriky :
asante kwa ukumbusho
2026-04-25 19:34:29
8
Tallman :
mashallah bro what a great reminder
2026-03-29 20:14:27
7
Dranaz :
jamani muwe mnajua maamlisho ya mungu na mafundisho ya mtume ninavyo jua mm hakuna hadithi ya iliyo toka kwa mwenyezi mungu hadithi ni mafundisho
2026-03-30 05:42:39
13
mudrickh25😷 :
maashaallah kwel kabsa....mlzishe Allah na yeye akurizshe....🥰 asante
2026-03-29 12:35:24
13
sauda malonga :
umenikumbusha jambo kubwa sana
2026-06-21 20:10:49
1
Mpitanjia :
hii hadith au maneno y kiarabu ..naomba mnijuz waislam wenzngu
2026-03-29 17:27:07
19
Moha Borte :
mashallah
2026-06-03 12:51:07
1
Smith🎃 :
Maneno aya ni Funzo kwa mwenye Akili 🤲🏽❤️
2026-03-29 18:28:14
14
kara salamata :
mashaallah daah kweli quruan haimchagui mtu wala kumbagua yaani huonyeshi kama ungeyajua hayo maneno ya ALLAH nakutakia kila la kheri uzidi kuwa na ufahamu zaidi ya quruan tukufu...Amiin.
2026-03-30 12:45:20
7
B!nt Sule💕 🤲🫂 :
mashallah Allah akubarik kwa ujumbe maridhawaaa
2026-03-31 01:40:05
6
babuu :
Allah akulipe umri wenye baraka kwa ukumbusho uliokuwa bora ☝🏽
2026-04-18 12:40:47
6
Tumaini Mfaume :
sub'hana'llah 🙏🙏
2026-06-21 08:18:38
1
Allah humma Amin 🤲🏼🙏🏼¥¥¥¥¥ :
kabisa 💯
2026-06-13 13:00:50
1
Jumanne hamisy Maunda89 :
mashaallah 🙏🙏
2026-04-18 14:12:07
2
AMIRI KHAN :
masha allah
2026-04-18 09:11:15
2
ommy ommy :
Amin
2026-04-11 18:38:22
1
Ngajupa Tz :
Allah
2026-04-17 01:33:19
1
BM Msophe :
Allah
2026-04-21 17:46:39
1
To see more videos from user @mrpowerkid, please go to the Tikwm
homepage.