@peter_lubango: Tarehe 4 ya J’mosi hii nakutangazia play list ya EP yangu mpya inayoitwa 👣BRING THEM 👣 na yenye wasanii walioifanya Tanzania 🇹🇿 ipendwe kupitia muziki— NAKUHAKIKISHIA utapenda,, Asanteni wote nnaowapenda MUNGU awabariki by @peter_lubango 🙏🙏