@cpt_komba_jr: Kwanini Wanaume wengi hufa kwa Ugonjwa wa Moyo??

Cpt Komba Jr
Cpt Komba Jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 March 2026 19:33:21 GMT
505893
19531
1189
5044

Music

Download

Comments

ladyblazee4
ladyblazee :
Sina baba lakini mume wangu nimempa thamani ya baba yangu nampenda sana mmewangu naogopa hata kumpoteza🙏
2026-03-30 04:06:03
711
noel_obed
NOEL :
I love my father so so much and he knows that.
2026-03-30 17:06:06
8
respich_
LIFE IS ART :
mzee wako alimpa connection mzee wangu ambayo ilibadilisha maisha ya familia. Mungu awabariki familia yenu.
2026-03-30 09:04:59
264
djroby24
roby 2004 :
Dunia inatutenga sana wa baba yani tumekuwa kama wahaini vile
2026-03-30 07:02:12
141
official.dee475
behappy products :
Mungu nisaidie nisiwe sababu ya maumivu kwa mume wangu lkn pia nisimame upande wake kwenye kila nyakati
2026-03-30 10:18:59
123
lovenec3
Mrs Deo ❤️❤️ :
Mume wangu zaidi ya Baba yangu nampenda sana Mwenyezi MUNGU atunze vema
2026-03-30 12:37:49
76
bintkaiza
M Kaiza :
Kwa cc waislam Mama ametajwa mara 3 ktk dini na baba mara 1 Ukiona ivyo ujue mama ni muhim na ni bora Nilikuwa nawapenda wote ila mama zaidi kiukweli 🥰
2026-03-30 04:22:03
45
cattydaudi
user9657802631007 :
Mimi nilimpenda sana babaangu. Apumzie Kwa Amani babaangu😭
2026-03-30 02:28:29
74
neemamichael0
NEEMA MICHAEL(NOELINE) :
MUNGU amlinde Mume wangu ni baba kwangu
2026-03-30 06:29:07
46
user3727123704547
sharif wamazzari :
Content ya maana sana mkuu ubongo mwingi umetumia big up sana unajuwa
2026-03-31 02:18:14
55
amosimanaga
Happy💝💝 :
Umeongea neno bro me nampenda baba kuliko mama love you my Dad❤❤
2026-04-01 11:47:38
14
mbacho.classic
Mbacho Classic :
Angalau tumepata watetezi, Wababa Mungu atusaidie
2026-03-30 15:25:23
15
faudhiamohamed281
Faudhia Mohamed :
Nampenda sana mume wangu allah anitunzie inshaallah🥰Akiumwa huwa navurugwa sana wallah
2026-03-30 18:16:07
15
josephmakoye10
Joseph Makoye :
mwanangu umeongea kwa uchunngu mkubwa sana heshima kwa Baba wote🫡🫡
2026-03-30 06:03:17
41
33unknown04
MR.DEV OF 33 unknown universe :
baba ni sources ya baraka sanaaa
2026-03-29 23:50:18
22
jacobnaibei542
Israel yakobo :
UKWELI mtupu. kaka mungu AKUJALIE MEMA duniani
2026-03-31 10:19:20
9
vitus.kiungulia
Vitus Kiungulia :
umenigusa sana mkuu huu ni mkweli mtupu💯💯💯💯
2026-03-30 02:24:06
20
commandocharles29
Commando Charles :
mimi siku zote baba ni Namba moja afuata mama
2026-03-31 05:04:37
5
aswile.mwambage
Aswile Mwambage :
Alikuwa rafiki yangu mzee komba. alikuwa mtu poa kiukweli.
2026-03-30 03:37:38
43
cosmain3
Cos :
Hiyo ni broad research question, na umetengeneza na specific reseach questions, sasa nenda kwenye literature review utapata majibu.
2026-03-30 04:06:52
18
manjonjocompan
manjonjocompan :
ukweli sana kiongozi,
2026-03-29 21:12:47
21
user2719118204156
user2719118204156 :
mm nampenda sana baba yngu ww acha tu
2026-03-30 03:45:38
7
user4154453690338
Mwl. D. Mkuchu :
Mimi Bwana naona mama ndio anaweza kumlinda mzee akaishi vizuri kama atawajibika kama mwanamke wa mithali 31:10-31 Mungu atusaidie wababa wote
2026-03-30 19:27:17
11
user3668521796162
furaha :
nampenda sana baba yangu pumzika kwa amani kipenz chetu Baba 🙏😭
2026-03-30 02:45:54
9
johhmike5
johhmike14 :
Mimi naona wote Bora na tunakosea saña kusema eti mmoja ni zaidi ya mwingine
2026-03-30 06:19:15
8
To see more videos from user @cpt_komba_jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About