@smilewithipsy: 🤲 Ukihisi huzuni au dhiki, jaribu kusoma Wasilatu Shafi. Allah husikia dua zako zote #wasilatushafi #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #viralvideo #fyp
wallah Nina ushuhuda wa jambo hili🥰nliona huku TikTok wakisema kuhusu wasilatu shafi nkadownload file lake yn tangu nianze kuskiliza napata amani mnoo na nimekuwa addicted yn naskiliza Kila mda na hutumii bando ni free file🥰🥰🥰🥰
2026-03-31 16:59:12
70
khalifrash :
hii ni bid'aa
2026-03-31 18:27:42
3
Smilee :
Eeeeh mungu nakuomba mimi mja wako najua me nimkosefu sanaa kwako nibariki mtoto mungu nione kwa macho yako ya huruma mungu
2026-04-01 11:32:37
36
mamyusaid :
Nikiiskiliza hii wallah nakuwa na amani ya moyo sijui kwanini, Allah ndiye mjuzi
2026-03-31 18:02:20
15
shafiq :
kama ulivyotupa faida ya wasilatu shaafi basi Allah twaomba akufunguliee milango ya khery kwako uzidi kutupa yale yaliyo ya khery
2026-04-01 11:52:53
23
فاطمة جابي :
wallah nna uhakika na hili lakin leo ndo nmejua kwanink,,, siku ambazo nakua sielewi naiweka asbuhi kazini bas kwa uwezo wa Allah kaz zinaenda vzr ...mwisho leeeeooooooooo🥰🥰🥰🥰 Alhamdulillah