@healthyfity1: Hii ndo sababu ya usumbufu kooni, kifua kuwaka moto na chembechembe za moyo — ACID REFLUX. Watu wengi hudhani ni tatizo la koo tu… lakini ukweli ni kwamba mfumo wa chakula unapovurugika, acid huongezeka tumboni na kupanda hadi kooni. Ndipo huanza kuhisi: ✅ Koo kuwaka au kukwaruza ✅ Kifua kuwaka moto ✅ Kuhisi kitu kimekwama kooni ✅ Sauti kubadilika au koo kukauka Swali ni hili… 👉 utaendelea kupambana na dalili au utaanza kurekebisha mfumo wako wa chakula? 📩 Andika “AFYA YA TUMBO” inbox 📞 0696256671 (Dkt. Gea) #DigestiveHealthSupport #acidraflux #sorethroat #tonsilitis #digestivehealth