Mungu tulindie huyu maana anapigania ukweli na haki 🥰🥰
2026-04-17 08:49:18
34
@alladini :
Rafiki yangu, na heshimu imani yako, lakini naomba pia unisikilize kwa upande wangu. Mimi naamini katika Yesu Kristo kwa sababu yeye mwenyewe alisema: “Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa mimi” (Yohana 14:6).
2026-04-01 18:50:39
41
AL4NCE LTD :
we ndo hujaelewa broo,, jifunze kunyamaza itakusaidia
2026-04-06 18:09:57
20
sîryã :
mungu akupe maisha mafupi
2026-04-02 16:44:50
27
✨acramz👑 :
mungu akulinde tuendelee kusema ukweli
2026-03-30 16:45:42
19
Ibrahim Ali :
young Sayyed Mungu akuzidishie na akulinde na maadui 🙏🙏❤️❤️❤️
2026-03-30 19:59:13
20
mabonye brand :
yaarabi akufanyie wepesi kwa kila ulifanyalo mwanangu
2026-05-19 07:36:32
9
msagati :
Allah akujaalie mwisho mwema kwa kuutetea Islam Allahumma aamin.
2026-05-25 18:24:00
3
alhadysalum :
manshaallaha mungu akupe mwisho mwema inshaallaha
2026-03-30 16:17:18
27
Mr sere ous :
walaykum salam kaka walekeze ao walio potea safi sana
2026-05-16 10:12:52
2
p.r.a.y.zone🇹🇿🎮 :
Yesu asifiwe milele amina
2026-04-17 22:04:49
10
kingkiba024 :
jesus mwamba 🙏🙏🤝🤝💪💪💪💪💪💪
2026-04-02 20:16:24
9
Esnartmlongotie :
bwana Yesu asifiwe sana
2026-04-09 17:41:01
7
Abdimohd🤓 :
Allah akuafikishe ndugu yangu katika Imani akupe nguvu ya kulingania watu, inshaallah muangu akuweke Ameen, 🤲
2026-05-03 14:47:38
5
SULLESH CLOTHING LINE :
Kama unampenda yesuuuuuuu gonga like
2026-04-08 22:17:40
5
abdallah khamiss :
Allah aku bless
2026-05-22 17:30:46
1
Saidi Maganga :
MASHA ALLAH
2026-05-14 05:11:06
1
kasimu issa bendera :
bwana yesu asifiwe🥰
2026-04-10 08:50:09
4
SADEDIs♥️😎🤏🏼 :
Hakika ukumbusho utawafaa wenye Kuamini🙏🏽🥰
2026-05-02 07:56:52
4
Lucky Salama :
mungu azidi kukupa uzima uzidi kutoka elimu
2026-04-27 20:21:11
2
To see more videos from user @youngsayeed, please go to the Tikwm
homepage.