@nyebowsa_media: Binti anadai kusumbuliwa kwa kutumiwa maseji nyingi za kutakwa na Mchezaji wa timu ya Manchester united ya Pale Uingereza na akaongeza kwa kusema mchezaji huyo akiendelea kumsumbua atamuumbua adharani kwani hamtaki Jambo ambalo limewashangaza watu wengi hasa mashabiki wa Manchester United #tanzaniantiktok #kenyantiktok #nyebowsamedia #eastafrica #tanzania