@chiefgodlovebillionaire_: Kama hujawahi kuishi kwa ndugu ukawa wakwanza kuamka wamwisho kulala watu tumefika dar tunaishi kwa kutandika mkeka sebreni nasubiri watu woote waende kulala ndo nitandike mkeka nilale na asubuh saa 11 naamka ili wasinikute sebreni naanza kufagia kupiga deki kuosha vyombo ilimradi tu kukuche niende kujitafutia unatoka hapo unaenda kwa washkaj born here here wanakukejeli kukunyanyasa kukuita mshamba wakuja yani Kama hujawahi kupitia Hali ya kufanya mapenzi na mwanamke mkubwa kwako ili upate chakula ule mjomba hauna chakunishauri nliyopitia kwenye maisha yananifanya nisiwe na kitu cha kupoteza ikitokea mtu anataka kunirudisha nilikotoka ni either mimi niende jela yeye aende kaburini Ukiwa Kama mpambanaji ni kitugani unakumbuka umewahi kufanya ili uservive kitugani umewahi kufanya ili mradi tu upate msosi