@azoretechtz: Acha Kutajirisha Wenye Stationary Kwa Vitu Vidogo! 💸📠🛑 Kwanini utoe 1,000/- kila siku kusaini document wakati laptop yako ina kila kitu? 📉 Muda hautoshi, mambo ni mengi! 🚀 Saini barua kitalamu ukiwa umekaa kishua: 1️⃣ Piga picha saini ➡️ Insert kwenye Word. 📸 2️⃣ Picture Format ➡️ Color. 3️⃣ Set Transparent Color. 4️⃣ Click kwenye background nyeupe... na BOOM! Background inasepa! 💥✅ Saini imekaa kishua, hela imebaki mfukoni! Huu ndio mwendo wa Azore Technologies. 🛡️💻🔋 Hatua ya Kitalamu: 🛡️⚡️ 📌 SAVE nondo hii uache kupoteza hela! 📩 SHARE kwa mtaalamu mwenzako anayehangaika! 👇 Gonga LIKE na u-FOLLOW kwa nondo zaidi! 🚀💎 . . . #azoretechtz #microsoftwordhacks #techtipstz #officehacks #fypppp
jamani sisi wa stationary tukale wap kama mambo yenyew ndo aya😏
2026-04-01 18:07:38
5
Joshua Richard :
content nzuri, ila ni jinsi gani ya kufanya iyo document inapo editiwa tena mtu asi copy signature yangu na kuitumia kwenye document nyingine?
2026-04-01 10:56:46
2
Rocket :
je, kama Document ninayotaka kuweka sign ipo katika format ya PDF nafanyaje??
2026-04-01 14:37:45
0
Songola :
background haiishi
2026-04-01 15:15:42
0
@officialflex :
😍😍nakupenda mdada
2026-05-04 05:36:04
1
haje :
naomba unifahamishe kuandika kwa maandishi ya Hati za kiarabu.
2026-04-01 01:57:02
2
ىؤنس :
Nakukubali sana 😅
2026-04-01 11:32:00
2
Mercedes benz professional :
hi sister unapatika wapi
2026-05-30 10:52:09
0
LifEOfDaNiEL✝️ :
Best tech contents recently. Just basics but very important ✅
2026-04-01 05:29:11
4
mark9122576934241 :
sawa acha tufunge stationery zetu
2026-04-01 08:34:35
1
Uncle G :
sisi wa stationery tukale wapi🥺🥺🥺🥺
2026-04-01 04:27:48
2
uledyseif :
hii unatumia kwenye sim au laptop
2026-04-01 06:30:25
1
From your contacts :
unatumia Microsoft word ya mwaka gani dada?
2026-04-01 09:37:47
1
Rapha :
Asante sana hii umeua 🔥🔥
2026-04-01 13:43:33
1
Mc PapaRazzy💪 :
wewe kumbe ata haujui madam, iyo Ni long process Sana, una save document alafu unaenda Kwa google photos una sign tu apo Kwa simu yako, iyo Ku sign Kwa karatasi Na ukiwa huna desktop jee??
2026-06-02 14:21:59
0
Chris B :
ABSOLUTELY TOO EASY
2026-04-01 04:32:13
1
Benson Gerrard :
hyo ni word ya mwaka gani
2026-05-25 14:12:54
0
Davinc's abelnado :
bwege ww
2026-03-31 16:12:50
0
kamaudanson8 :
inawzekana
2026-05-08 00:23:03
0
Matembe classic :
unajua san
2026-05-11 14:35:25
0
Mc PapaRazzy💪 :
Kuna njia unaeza Ku sign ikiwa Kwa siku tu .
2026-06-02 14:22:17
0
CHAZ :
mwaveja sana
2026-05-16 09:54:25
0
Lyzerchuga@@@ :
Hiii
2026-05-16 01:28:02
0
brayan erick :
@brayan erick:nifollow nikufollow bac
2026-06-02 06:31:09
0
Royal Priest :
Asante sana
2026-03-31 21:30:42
0
To see more videos from user @azoretechtz, please go to the Tikwm
homepage.